Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

Mkuu,

Sijui kama wengi wanakuelewa hapa. Athari iliyopo ni cream ya watu wa dini moja kusonga mbele alafu upande wa dini nyingine kulalamika. Watataka utawala kuzingatia udini badala ya uwezo wa mtu kishule.
Mthian wa form two aliutoa jk, wameona athari zake baada ya miaka 2 wakaulejesha, kumbe wamerudisha kiini macho tu!
Kaka tushawazoea hao kulalamika wala hawatupi shida, hii nchi siasa imeingilia kila kitu. Sehemu ambapo professionals wanapaswa kutenda, anaingia mwanasiasa na siasa zake. Huu ujinga waache waupeleke kwenye shule zao za kata. Matokeo yake watajua kuwa knowledge will forever govern ignorance!!!! Huku tumeruhusu akili ndogo itawale akili kubwa!!!!!
 
OPERESHENI YA KICHWA BADALA YA MGUU NA MGUU BADALA YA KICHWA, those students are the future doctors,teachers,magistrates,ole wako upite anga zao,utafanyiwa miujiza,inabdi nijipange kusomesha my kid in the best schools na matibabu japo kenya au south africa than to risk
 
Hiyo amri wapeleke kwenye shule zao ila seminarini hakuna kitu kama hicho! Umefeli rudi nyumbani ukafuge nguruwe wala hakuna kukariri!

Seminary sio madrasat mkuu, hakuna mwanafunzi wa kuferi form two.
 
alafu walio pass wote ni wale wanafunzi walio feli kidato cha nne mwaka 2012 na kurudia kidato cha 2
 
Na hatma yao kidato cha nne itakuwaje endapo watashindwa tena Mtihani huo wa kidato cha pili? au wanafanya hvyo kuwaridhisha wazazi wa watoto waliofeli ili 2015 wawapigie kura? maswali ni meng kwa kweli, St****d Government
 
Hiyo amri wapeleke kwenye shule zao ila seminarini hakuna kitu kama hicho! Umefeli rudi nyumbani ukafuge nguruwe wala hakuna kukariri!

Kweli kabisa mkuu yani kwa mtindo huu wataendelea kuona shule za kikristo(missionaries) zinatengeneza cream ambazo in the near future ndio watakao run Tanzania,tutaendelea kusikia malalamiko toka kwa wenzetu eti mfumo kristo ha ha ha kawambwa anawapoteza wengi...
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa serikali inaweza kurudi kwenye jambo la kipuuzi kiasi hiki.

Nami nitakuwa wa mwisho kuamini hasa baada ya kupitia tovuti ya Wizara ya Elimu na kujiridhisha kuwa bado Waraka unaoeleza kuwa mwanafunzi asiyefikisha wastani wa 30% atakariri Kidato cha pili
 

Attachments

  • Waraka Mitihani F2.001.jpg
    Waraka Mitihani F2.001.jpg
    337.7 KB · Views: 114
  • Waraka Mitihani F2.002.jpg
    Waraka Mitihani F2.002.jpg
    186.5 KB · Views: 97
Jana mulugo akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya atc arusha technical collage katoa agizo la wakuu wa shule kuchukuwa matokeo ofisi za kanda jumatatu na walioshindwa kufikisha asilimia 30 lazima warudie darasa
 
Serikali inawadharirisha walimu kwa kuwabeba wanafunzi wa kidato cha pili 2013 waliofeli.Taifa hili linaelekea kuzimu.Ndiyo maana Mawaziri wetu hawajui hata Neno TANZANIA LIMETOKANA NA NINI.Kamwe nchi yenye mazoba haitaendelea.
 
Hao wanafunzi waliopata kati ya 20-29 hawajaFAIL bali wamepata UFAULU USIORIDHISHA! So, kwa mujibu wa serikali IMARA ya maCCM, hao wanafunzi wamefaulu na wanapaswa kwenda kidato cha tatu wakachukue 'kozi maalum' inayoitwa remedial classes (TUITION)--ambayo serikali hiyohiyo ya magamba wanaipiga vita.

Mtu ukifikiria sana madudu yanayofanywa na maCCM katika nchi hii, unaweza ukawehuka. Ngoja tumsubiri bwana TanZimbabwe naye aje na yake maana kila mmoja wao ana MAAGIZO yake aliyopanga na mkewe usiku walipomaliza kugegedana!

Inatia hasira na uchungu mwingi kuona kwamba bado kuna wendawazimu wanaoendelea kuiamini hii serikali hii mfu na chama chao cha majangili. It's pains alot.
 
Tutake tusitake mfumo wa elimu wa sasa haufai. kwani hata hao walifaulu kiwango chao sio cha juu. Mfumo mzima wa elimu kuanzia viongozi wake unahitaji kubadilishwa. Hivi mpango wa kujenga maabara umeishia wapi? Huwezi kuleta mapinduzi ya kimaendeleo ktk nchi bila kuwa na wana sayansi werevu. Wengine waje watutatulie tatizo la umeme na maji nchini. Ni lazima tuwekeze sana ktk elimu hasa ya sayansi. Kwa sasa sijui tawekeza zaidi wapi au ni "KILIMO KWANZA?"
 
Hii kama imekaa kisiasa zaidi!!! Na kwanini mwaka jana na juzi hawakufanya hivi? Tunapoelekea 2015 tutaona mengi sana..

kama ni balaa, hii ni extraordinary! kama tutafika, basi itakuwa uzeeni, tutafute na mkongojo!
 
Back
Top Bottom