Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

Ngoja tuendeleze siasi katika elimu tutavuna tunachopanda.. hawa vijana wote wakishaingia mtaani na kuchanganyikiwa bila ajira watalipuka tu mtaani
 
Naona elimu inaendelea kuchimbiwa kaburi.
 
Tupe Source mkuu

you are not serious!! the story hides nothing and it is clear that it originates from gazeti la MWANANCHI. mnakuwa wavivu kusoma mpaka mnatia aibu.kizazi hiki, kazi kwelikweli. Wtuma salamu na wavivu wa kusoma kwao kulee FACEBOOK.
 
CWT itoe msimamo kuhusu jambo hili kwa sababu lina mwelekeo mbaya kwa elimu na walimu na hata wanafunzi wenye nia ya kusoma.
Wengi wa wanafunzi wanaofeli na kuruhusiwa kuendelea hujenga tabia mbaya kama utukutu, uhuni, umalaya, ugomvi, wizi, kuvuta bangi n.k. kila wakati walimu hupoteza muda mwingi kukabiliana nao badala ya kufundisha.
Kurudia kidato cha pili maara moja na hatimae kufukuzwa wanapofeli mara ya pili ni uamuzi pekee unaweza kuinusuru elimu na kuweka nidhamu ya wanafunzi kusoma. Ni jambo la kipuuzi kuamua waendelee eti kwa masomo rekebishi ni muda gani watapewa masomo rekebishi wakati tayari wako kidato cha tatu ambacho masomo yake hawayaelewi huku yale ya nyuma hawajui kitu?
 
Mkuu,

Sijui kama wengi wanakuelewa hapa. Athari iliyopo ni cream ya watu wa dini moja kusonga mbele alafu upande wa dini nyingine kulalamika. Watataka utawala kuzingatia udini badala ya uwezo wa mtu kishule.
Mthian wa form two aliutoa jk, wameona athari zake baada ya miaka 2 wakaulejesha, kumbe wamerudisha kiini macho tu!

Huna unachowaza zaidi ya udini tu kwenye ubongo wako waambie mods wa huu uzi wauamishie jukwaa la dini, hivi unadhani hao wanafunzi waliofeli wakipitishwa wakipitishwa wa dini moja?
 
Kuna wakati huwa nachukia kuzaliwa mtanzania! lakini huwa nachukia zaidi kutawaliwa na viongozi hawa wa CCM!! Wako radhi waharibu kila kitu ili mradi wao wawe na uhakika wa kubaki madarakani. Kitu kimoja kinacho nifariji ni kuwa taratibu watanzania wanaanza kumtambua adui wao wa kweli ni nani.si mwingine bali ni ccm na vibaraka wao WANAIANGAMIZA NCHI, WANAENDESHA ELIMU YA NCHI HII WATAKAVYO, NIA NI KUONA WATOTO WAO WANARUDI KUTUTAWALA BAADA YA WAO KUFA AU KUISHIWA NGUVU.Mwanafunzi amefeli tena mtihani ambao hata darasa la saba angeweza kufaulu halafu unasema aendelee na masomo,kwanini?? hayo ni matumizi mabaya ya madaraka na mamlaka mliyo pewa na wana wa nchi.Ni aibu, mnatufedhehesha mbele ya mataifa serious duniani.

Binafsi nilijua ule waraka ulio agiza wanafunzi wanafeli mtihani wa kidato cha pili wakariri darasa kuwa usinge dumu hata miaka miwili kwani nina wajua viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kisiasa hata kwa vitu mwa msingi.hii inasababishwa kwa kiasi kikubwa kuwa na viongozi masikini na wasio jua nini wanakisimamia. KIONGOZI ANAYE SIMAMIA ELIMU KWA KUFUATA PRINCIPLES KAMWE HAWEZI KUKUBALI UJINGA HUU.Ni umasikini tu ndio unafanya watu wafunike kombe mwanaharamu apite.
 
Serikali imeagiza wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2013 na kushindwa,waendelee na masomo yao yaani hawatakariri wapewe Muda maalum wa kunolewa [REMIDIAL CLASS].

Hili gazeti la mwananchi siku hizi si la kuamini kabisa limekuwa kama ijumaa weekend yani linaendeshwa kwa fununu tu bila uhakika.
Kama habari ya tibaijuka iliyoandikwa kwa kujinasibu kupata taarifa hiyo kutoka chanzo chake cha kuaminika imekanushwa na kumuomba waziri msamaha waziri iweje hii.
Mwananchi inataka kutuaminisha kuwa matokeo hayo yanasubiri waraka uwafikie maafisa elimu mikoa na wilaya ndo yatangazwe maana ni wiki ya pili toka shule zifunguliwe bila matokeo hayo jambo linalosababisha vijana hao wanaoyasubiria matokeo hayo kushindwa kuanza masomo.
na kama ni kweli hili taifa linaangamia.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IOKOE ELIMU YETU.
 
Tunazidi kulichimbia kaburi elimu yetu! Kibaya zaidi watoto wa Watanzania masikini ndiyo watahadhirika zaidi!
 
Hii Wizara ya Elimu inaongozwa na 'mavampire'!. Mwalimu, na mdau wa Elimu, yeyote lazima asikitike sana na huu uzumbukuku.
Mpango wa Remedial Classes, ulishindwa na hata sasa, utashindwa. Jiulize, je waalimu watalipwa na nani? Je wanafunzi watasoma muda gani?, ....
Haiwezekani mwanafunzi wa kutwa aliyetoka nyumbani bila kula, aingie remedial classes (tuisheni) baada ya muda wa masomo.
"Waalimu tuna hali ngumu, japo tuna umuhimu". Natamani kuwatoa watu kwa nguvu madarakani .........
 
:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2: ASANTE SANA NAWAPONGEZA BARAZA LA MITIHANI KWA KUJITAHIDI KADRI YA UWEZO WENU KUIBOMOA ELIMU YETU YA TANZANIAAA:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2: ASANTE SANA NAWAPONGEZA BARAZA LA MITIHANI KWA KUJITAHIDI KADRI YA UWEZO WENU KUIBOMOA ELIMU YETU YA TANZANIAAA:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Mkuu NECTA inahisika vipi na matokeo ya Kidato cha 2 na maamuzi yanayochukuliwa kuhusiana na matokeo?
 
TANZANIA pamekua sio mahali salama pa kuishi binadamu kwa mtindo huu utaendeleaje sasa?
 
ntajie shule ya kiislam hata moja ambayo mkristo unaweza tia mgùu. nenda MUM kaone miujiza pale.



Niko mum nwk w pili mbona sikubatka kuona hy miujiza zaid ya haki kutendeka wapo wakrsto.Hp hta uwe na ucha mungu wa namna gani hauwz kubebwa zaid ya kufaulu kwako.Au unataka kupromote kaul yk kwa mtazamo wa dini ya kikrsto kutotendewa hk dhid ya waumin wk ndan ya hii kampac.Kuwa muelewa ktk kufkisha jambo kwa ummna cy kujipeleka kwa matash ya udin uliokuwa nao.Naomba kuwaclisha
 
lazima law of rainforcement katika taaluma ya kuwa mwl izingatiwe panya alipokuta hakuna chakula hakurudia tena tabia ya kufungua mlango wa box la B.F.skinner. hata kuwarusu waendelee kidato cha tatu mnawa-reward ili tabia iendelee badala ya kuwapa punishment (discontinue) tabia ikome exitinction is of paramount importance to such kind of behavior. waalim hili wanajua.
 
Ni wazi wanahofia baadhi ya shule zao za UKATA kukosa kidato cha 3 mwaka huu.
 
Haya maagizo Jenista Mhagama akaya- nullify mapema sana kuepusha Taifa na Aibu nyingine. Kwa kuwa Ni mdau alokuwa anaongelea matatizo ya walimu na wanafunzi Kwa uelewa wa Hali ya juu (ikizingatiwa Ni Mwalimu wa Enzi hizo) pale bungeni kabla ya uteuzi wa Leo. Tunasubiri kuona maamuzi chanya na si ya kishikaji na kifamilia (Kawambwa na Mchome).
 
Duuuuuu tunapoelekea ni kuwa na taifa la wajinga ila mbona wao wanaelimu ya kueleweka na watoto wao wanasoma kunye mashule ya kueleweka embuuuuu hii wizari isitufanyie hivi jamani aua ndy (BRN)
 
Back
Top Bottom