Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,748
- 2,038
ujinga wa nani sasa?
Wa wenye wizara na serikali
ujinga wa nani sasa?
ujinga wa nani sasa?
Hawawezi kutupeleka kama punda. Aliefeli anapaswa aidha kurudia au aswage home haya mambo ya kujaza shule wanafunzi makopo ndio hupelekea hata wale wachache wenye uwezo kupotea katika mkumbo wa wajinga.
Serikali imeagiza wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2013 na kushindwa,waendelee na masomo yao yaani hawatakariri wapewe Muda maalum wa kunolewa [REMIDIAL CLASS].