Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

lazima law of rainforcement katika taaluma ya kuwa mwl izingatiwe panya alipokuta hakuna chakula hakurudia tena tabia ya kufungua mlango wa box la B.F.skinner. hata kuwarusu waendelee kidato cha tatu mnawa-reward ili tabia iendelee badala ya kuwapa punishment (discontinue) tabia ikome exitinction is of paramount importance to such kind of behavior. waalim hili wanajua.

Law of Effect by E. Thorndike pia iwasaidie. Bhalalusesa analijua hili, only Kawambwa and Mchome don't know the principles.
 
Hii Wizara ya Elimu inaongozwa na 'mavampire'!. Mwalimu, na mdau wa Elimu, yeyote lazima asikitike sana na huu uzumbukuku.
Mpango wa Remedial Classes, ulishindwa na hata sasa, utashindwa. Jiulize, je waalimu watalipwa na nani? Je wanafunzi watasoma muda gani?, ....
Haiwezekani mwanafunzi wa kutwa aliyetoka nyumbani bila kula, aingie remedial classes (tuisheni) baada ya muda wa masomo.
"Waalimu tuna hali ngumu, japo tuna umuhimu". Natamani kuwatoa watu kwa nguvu madarakani .........
Hizo remedial classes wanafunzi na walimu wote hawako tayari kiakili, kimwili, kiafya na kifedha. Unaposema remedial class Ni out of normal working hours. Je, nani anawalipa hao walimu? Walimu wanahitaji kupumzika pia. Kama Ni remedial wakajisomee nyumbani maana maarifa wanayo tayari (walishafundishwa) na notes (maandiko) wanazo pia.

Wanaosema remedial Ni kama wanaongelea midomoni na hawashirikishi UBONGO. Eti professors na Doctors wanaongoza wizara!!! Maajabu sana. Tunahitaji nini kuwapata kina Makweta wa kizazi hiki?
 
Ndiyo ilikuwa siku yake ya mwisho kuota maagizo sasa akasome kwenye magazeti
Jana mulugo akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya atc arusha technical collage katoa agizo la wakuu wa shule kuchukuwa matokeo ofisi za kanda jumatatu na walioshindwa kufikisha asilimia 30 lazima warudie darasa
 
Hili gazeti la mwananchi siku hizi si la kuamini kabisa limekuwa kama ijumaa weekend yani linaendeshwa kwa fununu tu bila uhakika.
Kama habari ya tibaijuka iliyoandikwa kwa kujinasibu kupata taarifa hiyo kutoka chanzo chake cha kuaminika imekanushwa na kumuomba waziri msamaha waziri iweje hii.
Mwananchi inataka kutuaminisha kuwa matokeo hayo yanasubiri waraka uwafikie maafisa elimu mikoa na wilaya ndo yatangazwe maana ni wiki ya pili toka shule zifunguliwe bila matokeo hayo jambo linalosababisha vijana hao wanaoyasubiria matokeo hayo kushindwa kuanza masomo.
na kama ni kweli hili taifa linaangamia.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IOKOE ELIMU YETU.

buku 7! mimi nilidhani wewe una habari za kuaminika zaidi ya hizi za mwananchi. kumbe huna lolote la maana? maghamba wengine bhana....
 
Operation Tokomeza kidato cha pili sasa hakuna, hii inaitwa vunja moyo walimu, BRN ni ulaya tu ndo wanaweza sisi hakuna kitu, nimeshindwa kushangaa, ndugu watanzania tunakwenda wapi na nchi hii? My God! Walimu popote mlipo nawapa pole sana, hii ndio serikali ya Tanzania. Eti waliofeli wafundishwe remedial class ni nani atawafundisha? walimu hawahawa ninaowafahamu mimi? au wanaletwa kutoka Jamaica! Ushindani wa soko la Africa Mashariki, kwa mtindo huu! jamani mi sijui wapi tunakwenda na serikali yetu hii, MAJANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mkuu NECTA inahisika vipi na matokeo ya Kidato cha 2 na maamuzi yanayochukuliwa kuhusiana na matokeo?

huyo jamaa inaonekana hata heading hajaisma. amekurupuka tu kuweja mapicha yake na kuchangia topic asiyoijua. hawa magamba sijui kama wakati mwingine hufikiri kwa ku2mia ma2mboh!
 
Nothing is simple unless you know it, the excellence starts with you! Watu wanajiuliza kwanini matokeo yamechelewa? Kumbeeee!
 
me sielewi kabisa serikali ivi mbona wanakua kigeugeu sana na vp kuhusu project ya BRN na kwa kufanya hivo hawaoni kama ni kupteza muda mana kama F2 mtoto kashindwa kuvusha wastani sasa ukimpa mzigo huo wa two in one wataweza na je hiyo remidial class hao walimu wanafundisha nje ya muda wa darasani je mtaweza walipa madai yao mana kama saizi bado wako kwenye mazingira magumu na bado mnawaongezea majukumu tena kwa muda ambao wao inabidi wafanye mambo yao binafs. Jamani ivi ili taifa linaenda wapi?
 
Tanzania ifanyiwe nini ili watz washtuke kuwa nchi inaharibiwa ?
 
BRN ya aina gani sasa si bora mitihani waitoe kuliko kupoteza pesa bure??? watu wanakosa pesa ya kusomea elimu ya juu wao wanazitumia pesa kwa mitihani ambayo inaoneka haina maana,kama wameamua kutokaririsha hamna aja ya mitihani!!!
 
wata standardize div 5. Hakuna mwalimu aliye tayari kufanya huo upuuzi. Nchi hii ni kama tumelogwa wote. Standardization ya form 4 ilipita tukaiona na kuibariki. Tusubili rekodi ya wanafunzi kumaliza kidato cha sita ilhali hawajui kusoma na kuandika.
 
Mwisho wa hiyo remidial ni nini »»je watapewa mtihani mwingine au ndo imetoka hivyo nao wanajihesabu ni kidato cha tatu?
Majanga yanaendelea tu
 
Back
Top Bottom