Hakuna Sheria inayoruhusu askari yoyote kumpiga risasi raia ambaye Hana silaha, vurugu zozote na maandamano yoyote yanatawanywa na silaha ambazo hazihatarishi uhai wa raia.
Ni kweli Watu walioandamana walisababisha uharibifu wa mali na miundombinu na Kuna baadhi ya vikundi vya wahuni vilifanya wizi.
Lakini walichokifanya polisi hakikubaliki na ni ukatili, na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Damu za raia wote waliopoteza maisha, kwaajili ya kudai haki ziwe juu yako na vizazi vyako, juu ya polisi na juu ya Raisi Samia na vizazi vyako, Naomba haya Kwa Jina la MUNGU aliye hai Amina 🙏