Waliochochea vurugu washughulikiwe

Waliochochea vurugu washughulikiwe

Dola ilijua, ndiyo maana palikua na movement ya vyombo vya usalama,na wali-note raia nchi jirani wakiingia, ndiyo maana JF ilifungiwa, viongozi chadema walitiwa korokoroni,they knew,wakaandaa na strategy ya kukabili,mama akajiandikisha Dodoma
Shangilieni muwezavyo lkn mjue hamko salama tena. Wote walifiwa hawatakipenda chama cha mapinduzi daima na watalipa kisasi kimyakimya ila kwa uhakika!

Huku watoto 2 wanafunzi na mmoja wa3 alikuwa anauza mayai akapigwa risasi!
 
Ushauri kama huu ni wakuchochea vurugu watu hawajapoa mnataka kugusa wapendwa wao
 
kuwa la wawayak
ushawahi kujiuliza ni nani alietufikisha hapa mpka inafika hatua ya watu kuandamana ..? mtanzania ni rahisi kutoka na kuandaman tu..?
Palikua na maandamano mengi tu 1998-2005,Pemba 2001 waliandamana wakaua wengi,wakawa wakimbizi kenya
Huwezi kusema hatumtaki rais halafu ufanye vurugu uachwe
 
Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Ww poyoyo tulia serikali ni nani ...au hata hujui? kwa akili zako unadhani serikali ni kikundi cha hao unao watetea ... Kasome kwanza umejaza mavi kichwani na uchawa
 
Shangilieni muwezavyo lkn mjue hamko salama tena. Wote walifiwa hawatakipenda chama cha mapinduzi daima na watalipa kisasi kimyakimya ila kwa uhakika!

Huku watoto 2 wanafunzi na mmoja wa3 alikuwa anauza mayai akapigwa risasi!
Msingefanya vurugu asingeuawa mtu,kwa nini mlichoma mwendokasi?..sheli, biashara za watu?
 
Palikua na maandamano mengi tu 1998-2005,Pemba 2001 waliandamana wakaua wengi,wakawa wakimbizi kenya
Huwezi kusema hatumtaki rais halafu ufanye vurugu uachwe
kwaiyo watu wakiandamana ndk wauliwe...?
na kusema raisi hatumtaji ni kosa la jinai siku hzi..?
 
Ww poyoyo tulia serikali ni nani ...au hata hujui? kwa akili zako unadhani serikali ni kikundi cha hao unao watetea ... Kasome kwanza umejaza mavi kichwani na uchawa
Ungekua umesoma na kuelimika usingeuliza serikali ni nani.. ungekua na akili walau kidogo usingeuliza serikali ni nani
 
kwaiyo watu wakiandamana ndk wauliwe...?
na kusema raisi hatumtaji ni kosa la jinai siku hzi..?
Mwendokasi,mabasi yake,ofisi za tra, biashara za watu,viliungua kwa kusema hatumtaki rais?
 
Msingefanya vurugu asingeuawa mtu,kwa nini mlichoma mwendokasi?..sheli, biashara za watu?
Mwanzo kabisa ilipostiwa maiti ya mwandamanaji mapema kabisa hata hawajaanza kuchoma mwendo kasi! Baada ya kuuliwa huyo mtu basi wakaanza kuchoma.

Kuchoma mali ya fisadi ni sahihi

Kuchoma mali ya Uma (kodi zetu) sio kigezo cha kuua watu wasikuwa na silaha. Kwa mmewafundisha kuja na silaha hata za kununua kwa njia ya magendo upo hapa utaelewa siku ilifika
 
Mange, Maria na Sativa wafunguliwe kesi.
..ni upumbavu kukimbizana na matokeo ukaacha chanzo cha tatizo, chanzo ni kupotea kwa amani, haki za raia, uporaji, wizi wa mali za umma, na kulazimisha kufanya uchaguzi ktk mazingira yaliyojaa kutoaminiana kati ya serikali, vyama na wapiga kura! kina maria shida yao nini wakati kila siku wanawakumbusha watawala kuchukua hatua kuepusha machafuko..tumia akili bwn usilete utetezi wa kijinga hapa!
 
Acha maswali ya kitoto.

Kwani mpaka nitekwe mimi ndo ukubali kweli utekaji?

Ali kibao kosa lake ni nini?
Yule mzee ananiuma mpaka leo yule ni kama mzazi kwao kabisa kwa umri ule ila walichomfanyia ni masikitiko makubwa.
 
Taifa limefika hapa kwa serikali ya samia na vyombo vyake vya ulinzi kukaza shingo.
Bahati mbaya hata Msajili wa vyama vya siasa kashiliki pakubwa sana kutufikisha hapa.
Kwa upande mwingine nailaumu sana mahakama ya Tanzania imetumika kwa asilimia kubwa kufanikisha mambo ya hovyo yotee yaliyopangwa na serikali ya Samia.

Ili kutengeneza uwajibikaji, wakuu wa vyombo woteee wanapaswa kuondoka madarakani, uongozi wa mahakama ya Tanzania uondoke wotee, ofisi ya DPP wote waondoke, ofisi ya msajiri wa vyama ifutwe.
 
Mwanzo kabisa ilipostiwa maiti ya mwandamanaji mapema kabisa hata hawajaanza kuchoma mwendo kasi! Baada ya kuuliwa huyo mtu basi wakaanza kuchoma.
Unamdanganya nani, vurugu zimeanzia ubungo kimara,na polisi walikua watulivu pamoja na jeshi,saa nne sheli imechomwa shekilango
Kuchoma mali ya fisadi ni sahihi
Shilole ni fisadi, basement ni fisadi,billnass fisadi?..huyo fisadi huo ufisadi wake ulithibitisha vipi?..kuchoma Mali zake ndiyo sheria?..kama hufuati sheria kwa nini usishughulikiwe kihuni bila kufuata sheria?
Kuchoma mali ya Uma (kodi zetu) sio kigezo cha kuua watu wasikuwa na silaha. Kwa mmewafundisha kuja na silaha hata za kununua kwa njia ya magendo upo hapa utaelewa siku ilifika
Watu wakichoma ofisi za tra,watazamwe tu Ili wachome bank kuu, ofisi ya mkuu wa mkoa, hospital, ikulu,bandari..huo siyo uhujumu?
 
Back
Top Bottom