Waliochochea vurugu washughulikiwe

Waliochochea vurugu washughulikiwe

Dola ilijua, ndiyo maana palikua na movement ya vyombo vya usalama,na wali-note raia nchi jirani wakiingia, ndiyo maana JF ilifungiwa, viongozi chadema walitiwa korokoroni,they knew,wakaandaa na strategy ya kukabili,mama akajiandikisha Dodoma
wale watu waliojaza Barbara wote ni nchi jirani?
kweli mwanamke akiwa na roho mbaya anakuwa narohomabaya kweli.ndiomana mnawatupaga watotowenu wachanga kwenye vyoo nawewe itakuwa nimojawapo wa wale wanaotupaga watoto mdangaji mkubwa wewe
 
Serikali ina vyombo vya kufuatilia,we nyoa vaa pedi,kuna mkenya kauawa ubungo kwa risasi, social media za kenya zinaripoti
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
hao watu wameuwawa na nani?
 
Naunga mkono hoja, Ninawataja kabisa wahusika
1. Mgombea urais kupitia CCM
2.Watumishi wote wa tume ya uchaguzi
3.Askari polisi wote
hawa ndiyo chanzo kikuu cha vurugu, wanapaswa kuchukuliwa hatua mara moja!
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Kila siku unajiliza Israel inavyo peleka moto kwa waPalestina ila huku unaona ni sawa hahaha binadam kweli kiumbe wa ajabu
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Wa kushughulikiwa ni DGIS,IGP na CDF.
 
Wengine "vurugu" ziliwafuata majumbani mwao - na walikuwa machawa promax!

20251104_133009.png
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia

Kabula ya hayo maandamano watu wameuawa wewe unazungumzia juzi 29 mondelezo wa walewale wauaji.
Waliochochea vurugu ni watekaji na wauaji
 
Kwenye hii miaka mitano Mama asiwachekee hawa wahuni. Iwe bendera chuma mlingoti chuma.. alikosea sana kuanza utawala wake kwa kuwabembeleza kupita 4R zake. Magufuli aliwajua hawa wachumia tumbo ndo maana aliwapelekea moto.

Unafikiri huyo unayemsema ni mungu anayeishi binguni sio. Aweke hiyo bendera chuma siye tuko mamilioni yeye n familia yake wapo wangapi? Tutawafikia tuu ni suala la muda
 
Unamdanganya nani, vurugu zimeanzia ubungo kimara,na polisi walikua watulivu pamoja na jeshi,saa nne sheli imechomwa shekilango

Shilole ni fisadi, basement ni fisadi,billnass fisadi?..huyo fisadi huo ufisadi wake ulithibitisha vipi?..kuchoma Mali zake ndiyo sheria?..kama hufuati sheria kwa nini usishughulikiwe kihuni bila kufuata sheria?

Watu wakichoma ofisi za tra,watazamwe tu Ili wachome bank kuu, ofisi ya mkuu wa mkoa, hospital, ikulu,bandari..huo siyo uhujumu?
Kwahiyo kipi mlichotibu hadi hapo?
Mnadhani kuua ndo dawa?

Kwenye kichaka cha Tz nchi ya amani tumeshatoka hko kinachofutia kila mtu atasherehekea kwa wkati wake
 
Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Ila japo tupo kwenye huzuni lakini nimecheka sana, Rais kaapishwa huko uani (Mafichoni).
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Na waliosababisha huu mtindinganyo wao wanyongwe, hawa sio wengine bali ni wale waliotuletea uchaguzi wa. kiini macho.
 
Back
Top Bottom