Waliochochea vurugu washughulikiwe

Waliochochea vurugu washughulikiwe

Kabisa,twaha mwaipaya,heche,lisu
Dunderheads...chukueni jukumu ya mungu muwaue tuu kavile mumeua waandamaji ila kupita kimahakama tayiri mumeona aibu jinsi Lissu amewagaragaza hadi mukaomba mufanyie gizani ...maswine nyie
 
Ww unaamini ni no reform no election ndiyo imeleta yote haya?
Ukishaona nchi watu wanavunja maduka na kuiba mali, ujue Kuna chuki kubwa inayotokana na gap kati ya walionacho na wasio nacho.

Kwa bahati mbaya sana NO ONE CARE.
Unadhani yametoka wapi?..wangesusia uchaguzi na kukaa kimya haya yangetokea?..ooh tutazuwia uchaguzi, kufanya vurugu siku ya uchaguzi siyo kuzuwia uchaguzi?..hao wangese wabondwe haswa
 
Wapumbavu kama nyie ndo mmesababisha mpaka tumefika hapa badala ya kushughulikia ufisadi,utekaji,matumizi mabaya ya rasilimali,maisha mabovu,siasa chafu vitu ambavyo vimetufikisha hapa mnawauwa watu.hii damu mtalipia nyie na vizazi vyenu
Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
 
Unadhani yametoka wapi?..wangesusia uchaguzi na kukaa kimya haya yangetokea?..ooh tutazuwia uchaguzi, kufanya vurugu siku ya uchaguzi siyo kuzuwia uchaguzi?..hao wangese wabondwe haswa
Yaani wasusie uchaguzi kwa kukaa kimya?

Ni vituo vingapi vimesusiwa na matokeo yakachakachuliwa?

Niko against uharibifu wa mali, lakin kususa hakusaidii. Hakujawahi kufanikiwa nchi hii
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Wa kwana huyo mama samia sliyetuma askari wakauwe watu
 
kuwa la wawayak
ushawahi kujiuliza ni nani alietufikisha hapa mpka inafika hatua ya watu kuandamana ..? mtanzania ni rahisi kutoka na kuandaman tu..?
alikosea sana kua mkarimu na kuanza maridhiano, alitakiwa aendelee alipoishia magu,
 
Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
Hakuna aliyepambana na Askari.ila wenyewe walikuwa wanapiga watu ovyoovyo.Ila safari ijayo hali itakuwa mbaya zaidi watu watapambana na Askari na machawa kama kama kiini cha yote haya kama ufisadi,utekaji,mauaji matumizi mabaya ya mamlaka Nk hayatashughulikiwa.wewe kama unaacess waambie washughulike na kiini hasa cha haya mambo kama wakiendekeza ushetani yajayo hayakuwa mabaya zaidi.
 
Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
Hakuna mtu kajiliza, mlichofanya hamkuanza juzi kwenye maandamano, mmeteka na mmeua muda mrefu sana, msichojua ni mmeanzisha biashara kubwa sana ya silaha na bei ya vichwa vyenu na mapolisi
 
So sheli ina thamani kuliko uhai wa mtu?
Nikikuta unachoma shell yangu au mali yangu yoyote nitakuua hapo hapo.Mtu anayechoma na kuharibu mali za watu binafsi na mali za umma kifo ni haki yake.Halafu hayo maswali yako ya KIPUMBAVU utaenda kumuuliza bibi yako kaburini.
 
Inaonekana ni kama hakuna kilichotokea na wala walichojifunza. Haya kazi kwenu ila panapofuka moshi mjue chini mkaa una moto
 
Nani kachoma mwendokasi,sheli,maduka,ua askari,kata vidole vyenye wino vya waliopiga kura?
Una miliki vituo vya mwendokasi vingapi? (tutalipa kodi vitajengwa) Petrol station ngapi unazo? (wale wana bima za biashara sijui kwanini unawawaza kiasi hiko) Nani amekatwa kidole sababu alipiga kura?

Lakini tumeshuhudia mamia ya miili ya vijana (i hope tutalipa kodi kuwarudishia uhai si ndio?)

Jeshi la polisi halina mabomu ya machozi? Kwanini wamerekodiwa vichochorini ambako hakuna watu wakipiga risasi za moto hovyo hovyo. Walikuwa na lengo hizo risasi zimpate nani?

FYI, Waliouawa wengi sio waandamaji, hopefully kuna siku mtajibu hili.
 
Dunderheads...chukueni jukumu ya mungu muwaue tuu kavile mumeua waandamaji ila kupita kimahakama tayiri mumeona aibu jinsi Lissu amewagaragaza hadi mukaomba mufanyie gizani ...maswine nyie
We mkenya tuliza kinyeo kwenu
 
Tag location msimu wa pili wa kutuma salamu ukianza tukutembelee.
 
Una miliki vituo vya mwendokasi vingapi? (tutalipa kodi vitajengwa) Petrol station ngapi unazo? (wale wana bima za biashara sijui kwanini unawawaza kiasi hiko) Nani amekatwa kidole sababu alipiga kura?

Lakini tumeshuhudia mamia ya miili ya vijana (i hope tutalipa kodi kuwarudishia uhai si ndio?)

Jeshi la polisi halina mabomu ya machozi? Kwanini wamerekodiwa vichochorini ambako hakuna watu wakipiga risasi za moto hovyo hovyo. Walikuwa na lengo hizo risasi zimpate nani?

FYI, Waliouawa wengi sio waandamaji, hopefully kuna siku mtajibu hili.
Jinga hilo. Kuna watu asubuhi wametiki mchana wameuwawa.

SHETANI hajawahi lipa fadhila.
 
Hayo ya kupuuza ndiyo yaliyoliteta taifa hapa
Kuna utaratibu wa kubadili utawala,lowasa alipata kura 3m+,so hao 3m+ nao wangeanza hatumtaki magu na hivyo magu angetakiwa kutoka!?..mna akili nyie!?..kuna rais hutakiwa na raia wote?
 
Back
Top Bottom