Huyu jamaa namfananisha na herode ametiwa upumbavu hekima hana tenaTuwe na tafakuri kwenye mambo muhimu ya kitaifa tuepuke KUPAYUKA
Mkuu,tuko kwenye kipindi kigumu sana na sidhani ka kitakua cha mpito.nikiandika zaidi ya hapa nitaitwa mchocheziTuwe na tafakuri kwenye mambo muhimu ya kitaifa tuepuke KUPAYUKA
Ohooo!!!anaweza hata akalitukana hilo shirika.
Kusema ukwelikosa langu lipi?