Waliobuni hili shirika hawakuwa wapumbavu

Waliobuni hili shirika hawakuwa wapumbavu

Mshana mkuu sitopenda kusikia umetolewa meno na kucha au kupotea kwenye mzngira tata

Smokey;
Kuna thread moja mshana jr katupia hapa kuwa alikuwa kwenye mfungo wa maobi makali sana. Nadhani miongoni mwa aliyoomba ni kuwa na kauwezo ka kumkwepa Faru kwa nguvu za giza. Hana hofu huyo
 
Smokey;
Kuna thread moja mshana jr katupia hapa kuwa alikuwa kwenye mfungo wa maobi makali sana. Nadhani miongoni mwa aliyoomba ni kuwa na kauwezo ka kumkwepa Faru kwa nguvu za giza. Hana hofu huyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
Taifa Kubwa duniani USA kuna kitu kinaitwa Food Stamp hii ni kwa wasiojiweza iwasaidie kwa chakula. Kama umesimamishwa kazi na uko kipindi cha mpito unapata Unemployment benefit. Tanzania hatuna hayo matatizo kabisa na ni nchi maskini
 
Ha ha ha ha leo umeamua kuongea kwa parables chief......

Basi sawa wame click lazimaaaaa...
 
Back
Top Bottom