Kama humwelewi, jitahidi umwelewe. Naamini atatuvushaHuyu jamaa namfananisha na herode ametiwa upumbavu hekima hana tena
Mungu anachukizwa sna na moyo wenye kiburi lazima atampa mapigo tu
huu ni uchocheziTuwe na tafakuri kwenye mambo muhimu ya kitaifa tuepuke KUPAYUKA
Atuvushe kwani tuko feri au mtoni huwezi kumuelewa mtu asiye na huruma kwa waliomuajiriKama humwelewi, jitahidi umwelewe. Naamini atatuvusha
Hiyo avatar yako... [emoji23] [emoji23]Mkuu,tuko kwenye kipindi kigumu sana na sidhani ka kitakua cha mpito.nikiandika zaidi ya hapa nitaitwa mchochezi
mkuu,imefanyaje avatar yangu?Hiyo avatar yako... [emoji23] [emoji23]
mkuuu mshina,msinitafutie matatizo aiseee,mbona haiko kiuchochezi jamaniEti ina mapembe! [emoji31] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mkuu,sitaki sikuzangu zihesabiweIongezee na mkia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]