Jamani jamani jamani ndugu zangu watanzania, ccm ifanye uovu gani mtambue kuwa hiki siyo chama cha siasa bali ni kundi la majambazi wenye lengo la kuiangamiza nchi hii??????? Hivi angekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kiongozi yeyote wasingemwokoa? Kweli ndugu zetu wanakufa huku wanajiona na taarifa imewafikia watanzania wote!!!! Nasema hii ni laana kwa taifa na ndiyo maana ndani ya uongozi wa kikwete nchi imekumbwa na mikosi kila kukicha kwa sababu ya laana zinazotokana na masikitiko ya wananchi. Eeee Mwenyezi Mungu tuvushe salama na kiongozi huyu asiyewajali wananchi anaowaongoza.