Waliobadilisha Maisha yangu....

.... nawakubali watu wengi saanaaa MMU. MMU kwangu ni kila kitu as najifunza mengi, naburudika na nafahamiana na watu mbalimbali. Ki ujumla kuna watu wananivutia sana lol kwa comment zao, thread zao na namna wanavyojitoa kushauri au kuweka nyuzi zenye mafunzo. Na wakati mwingine kuweka nyuzi zisizo na mafunzo(kwa mtazamo wangu) au comment za jokes, kuchakachua n.k

1.wazee wote wa Mpango wa kando l.o.l - The Boss , Asprin na wengine
2. Ashadii
3. Roulette
4. Mzee Mtambuzi
5. Snowhite
6. Kongosho
7.TF - The Finest,
8 Rutashubanyuma ( mzee wa kutag)
9.Kingasti
10.Mwanajamii One
11. Faiza Fox (nammis sana.. na comment zake lol)
12. Nyani Ngabu
13.Lizzy
14.Afrodenzi
15.Husninyo
16.mamndenyi
17. Badili Tabia
18.Bujibuji
19. Preta
18. kaunga ......daaaa ni wengi sana aaaaaa na mimi ni mvivu kuandika. FEW TO MENTION but manyyyyyyyyyyyyyyyy
 
Michango ya kila JF member hunifikirisha sana - hata iwe issue ndogo vipi.Nawatambueni nyote kwa ujumla wenu.

Hata hivyo sina budi kutambua kwa namna ya pekee wafuatao:
AshaDii, Roulette, Mwanajamii1, - Hawa ni zaidi ya JF contributors maana ni marafiki wa "karibu" wanaoifanya JF kwangu iwe a real world.

Kuna kundi jingine - Mbu, Mwanafalsafa, Faiza Foxy,Zitto, Invisible, Kiranga,Mtambuzi, Mzee Mwanakijiji, Superman,BAK, Masanilo,FMES,- siwezi kuona michango yao ikanipita bila kuisoma kwa maana kuna "cha ziada" ikimaanisha breaking news, analysis ya undani zaidi, mawaidha, nk.

Kuna akina Pretty, The Boss, King'asti,Belinda Jacobs,Haika,Allien, Gaijin, Kaunga, nk.hawa nao hunivutia maana michango yao hufanya msomaji ajisikie furaha na kuburudika
 
Mkuu natoka kidogo nitarudi, ninao wengi sana. Nitakupa saba na sifa zao bila upendeleo.
 
neggirl asante sana kwa kuniona, I 'like' you.

 
Last edited by a moderator:
Big up all waliotoa mchango na ushauri wao hadi kuwa ukombozi kwa watu wengi,
i real proud of seeing you guys in JF,
keep it so strong to hep and touch others lives!
ahsanteni.
 

DA like this post kwa sana pamoja sana (Jibu Simu basi na wewe kha?!!)
 
Nilikuwa sijuia kama wewe ni FATAKI hakiyashangazi vile kha??!!!! Ole nikukamate na mwanangu utanitambua ha ha ha hujambo lakini???

Hebu nitajie jina la mwanao kabisa ili ikibidi nijisalimishe mapemaa....

Sijambo kabisa mpaka sasa nipo poa tu!!
 
Mungu wangu!!!

Huyo anayelialia??

Jamani dada sijui utanibebea mbeleko gani mweh??

Ila ndio hivyo ishatokea, basi nakuahidi kuwa namuacha lol


Ngoja niandae bakora yaani kumbe wamjua vyema?? Mmmmhhh
 
Ngoja niandae bakora yaani kumbe wamjua vyema?? Mmmmhhh

Hata hivyo inaonekana ulikuwa unajua ndio maana umemficha, maana kapotea kitambo sana......

Umemuweka wapi Susy wewe?

Sio vizuri kumchunga binti kiasi hicho bana!
 
Last edited by a moderator:
Kwangu Asha Dii comes first wengine mnasubiri tu haah haah kifupi Adii ananifunza meengi sana hapa jamvini heshima kwako mamdogo Allah akujalie.

Vile vile mariapia huyu ni kwakua namjua zaidi ya Jf so hata siku nikifa huyu ndio atakaye wajulisha kuwa Mpatanishi kasepa.

Zaidi ya yote wafuatao siwasahau
lizzy
kipipi
mwanajamii
gaijin
Mwanakijiji
Maria roza
Huninyo aka Binti wa kule Mpwapwa
The Boss
Saint ivuga
Masanilo
kiranga a.k.a atheist
kongosho
na wengineo weeengi

Nitapata nuksi kama sitawakumbuka wataalam wa jukwaa la kikubwa teh teh teh
Funza dume,
Kimbweka
salute kwenu wakuu mavitu yetu ya jukwaa lile dah yananiacha hoi

Pongez kwenu wote hata ambao sikuwataja naendelea kujifunza kutoka kwenu. Mungu awajalie long live Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…