Jamani hata mie wapo walionitoa sehemu moja na kwenda sehemu ingine kwa ushauri wao wa kimisingi kabisa na wameweza kunifanya nionekana mtu mbele za watu, vilevile wamenishauri sana kuhusu kitabu changu ambacho kitatoka hivi karibuni kinashusu Jicho nilivyoomba ushauri kwao waliweza kunishauri namna ya kufanya na nikapata mwangaza katika macho yangu si weingine bali ni Maxence melo, Mike Mickee, Rutta, MAMMAMIA, Ana thomas, Mute, na wengineo wengi asante kwa ushauri wenu na support yenu mmenitoa mbali
Amina.
Ruttashobolwa thanx a lot kwa kutambua umuhimu na Mchango wangu kwako.
Pia vile vile nakushukuru kwa kufurahishwa na Majukwaa yenye kukuletea mabadiliko.
Asante Mkuu,
Tuko Pamoja.
Kha???!!! Kumbe wewe bado mtoto uko FB?? Mabwaku haya............
I am speechless buddy...but you have been inspiring me when commenting on some issues...
Kwanza kabisa mnisamehe kwa list ndeefu, for kwa kweli nawasiliana na wengi na wengi wanigusa.
Kuna watu ambao ni mchanganyiko Siwasiliani nao mara kwa mara, but hao watu acknowledgement na heshima kati yetu ipo hapo; iwe tukiwasiliana jamvini, kwa kupigiana simu, kwa consulting hapa na palem - iwe kwa pm ama namna yoyote ile...
Arushaone, Ritz, mohamed Shossi , zumbemkuu, mohamed Mtoi, Matola, zumbemkuu, Taz, daughter, consingliere, mitishamba, Apollo, Bishop Hiluka, Okya, Young Master, Purple, kilimasera, Ab-Titchaz, Meezy, Askari Kanzu, SMU vivian, charminglady, AMINATA 9, JAMmif Mkuu wa chuo, Tuko, bacha, director1, @C6, Mrembo by Nature, Twande, Maganga Mkweli, Leonard Robert, Raia Fulani, Lokissa, Golden Mpoleeee, Bujibuji, Memo neggirl, Gaijin, Erickb52, Yummy, Nazjaz, Madame B, MadameX, MKATA KIU, moto2012, MZIMU, Nicas Mtei, Zinduna, sakapal, Katavi, Boflo, JB WISER, Globu, SALOK, Albina, bucho, njiwa, Ritz, kokuTUNA, Straddler, sun wu, BE IN U (Nipo so disappointed you never came back). Judgement, @Merrita, Ambitious, Mkirua, Mphamvu, paulss, Gezus, NDINDA, Paxman, Matola, Amyner, The Priest Mpatanishi e.t.c
Pamoja Saana with Love,
AshaDii.
P.S:- Ngabu mbona unaniwekea kiwingu cha kuitwa genious?:becky: (Lol!
CCM inaingia kwenye rekodi ya Guiness book kama chama kilichokaa madarakani kwa miaka mingi
Sycophants! the above response can only come from a typical case!...tuna vita ngumu mbele yetu. Naendelea kujifunza mengi JF.Uzushi mwingine hauna hata mpango, na hawa jee, utawaweka wapi? Republican Party. It is, along with Britain's Conservative Party, one of the two oldest political parties in the world.
ata wewe pia ni mtu makini... Alafu mbona umeguna?????????????
Aisee... My JF experience has changed mtazamo wangu wa TZ and TZ is part of my life. Nawashukuru members wote tu kwa ujumla, na zaidi my JF friends, and Friends I met though JF (mind †ђξ difference)
una watu ambao ni mchanganyiko… Siwasiliani nao mara kwa mara, but hao watu acknowledgement na heshima kati yetu ipo hapo; iwe tukiwasiliana jamvini, kwa kupigiana simu, kwa consulting hapa na palem - iwe kwa pm ama namna yoyote ile...