Waliobadilisha Maisha yangu....

I appreciate sakapal..
karoibu saana
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haa swagger zipi tena?
typo error tu lol
ah manake hamchelewi nyie kujipa lugha zenye r ,r nyng pale kati nini!ahahhahahhahahhah hebu niache fujo mie nisije nikanyimwa offer ya threesome lunch!
 
ah manake hamchelewi nyie kujipa lugha zenye r ,r nyng pale kati nini!ahahhahahhahahhah hebu niache fujo mie nisije nikanyimwa offer ya threesome lunch!

Tkitoka hapo twaweza unganisha na deliverance pia ,ushindwe mwenyewe lol
 
Tkitoka hapo twaweza unganisha na deliverance pia ,ushindwe mwenyewe lol

nilishamwahidi kaunga kuwa delivarance lazima awepo maana ndo anajua kitabu gani itatupasa kuenenda kwayo!lol
sasa kwani hamnaga foursome?ahahahahhahha l
 
nilishamwahidi kaunga kuwa delivarance lazima awepo maana ndo anajua kitabu gani itatupasa kuenenda kwayo!lol
sasa kwani hamnaga foursome?ahahahahhahha l

Foursome itanifanya nijuute kuwafahamu lol
bora threesome ..lol
lakini sounds tempting lol
 
Nashukuru sn kwa kunipa nafasi hii, salam zangu za kwanza ziende kwa dadangu mpendwa Dena Amsi kwa surport yake kubwa iliyonifanya nijiunge na jf, kwan bila yeye na wngne ambao nitawataja badae kdgo nisingepata maujanja niliyonayo pengine popote isipokuwa hapa jf. Hongera sn denar doren.
 
Sasa koleji meti mbona hujawaambia wadau nlivyokuwa nakukatia nyanga za hesabu? Bila mimi ungemaliza chuo wewe?

najua utabisha kwa sababu maisha yameshakubali.

Mzee wa LMM, mambo yote balcony na muzeya ya Arusha Filipo.

Namshangaa sana Filipo hajanimenshen kama mojawapo wa watu waliyoyabadilisha maisha yake.

Kijana hatari sana yule
 
Last edited by a moderator:
ulimkatia nyanga za Mshimba ama Kakiko?

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…