Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Hahaaa...mdah!ahsante kwa maoni
 
Tena wanaume ndo wanaongoza kushawishi wake zao watoe mimba haswaa wakiwa hawako tayari kulea
 
Hahahah unichape matukio gani?kuchepuka?I know men cheat all the time na Wala sijishughulishi kumfatilia mtu niliyekutana naye ukubwani.point is nasex napokuwa safe tu kwani sex ni starehe na idadi ya watoto napanga mie Kama mama full stop.
Safi kabisaa
 
Iwe kwa kushawishiwa au kwa siri mwenye kuamua kabisa mtoto azaliwe ama auliwe ni mwanamke labda iwe vinginevyo km mimba kuhatarisha uhai au bahati mbaya nk
Kabisaa dear mfano Mimi nikisema nalea wala hawezi nizuia...mfano espy katoa hapo binti aligoma mume mpk kamrudisha kwao
 
Kuna mda mme hataki mtoto mke anataka hapo tifu linaanza
Yeah, mkishakuwa kwenye ndoa suala la ujauzito halina umimi tena, ndio maana hata kupata ushauri ni lazima muwe wote ili kujua athari za kile mnachotaka kufanya.
 
Wanaume ni kama vinyonga unamkubalia unaitoa,,,, siku mkitaka mtoto ukamkosa ndipo utaona rangi zake zote

Mi ndiye mwamuzi na mwili wangu ikiingia nitazaa sitaki kusikia habari za abortion
Kabisaa dear mfano Mimi nikisema nalea wala hawezi nizuia...mfano espy katoa hapo binti aligoma mume mpk kamrudisha kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…