Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Wanaua Sana watoto wasiokuwa na hatia na hawataki jifunza mizunguko ya wenza wao.So kwa mwanamke mjanja protect yourself kwani anayekwenda chanika leba ni wewe,usimtegemee mwanamme wa kiafrica kuplan watoto,utazeeka before your time.
 
Very true.
 
Hujawa mke wangu bado kabisa eti unaninyima gemu ..!!
Nitakuchapa matukio mpaka uone aibu mtaani
Hahahah unichape matukio gani?kuchepuka?I know men cheat all the time na Wala sijishughulishi kumfatilia mtu niliyekutana naye ukubwani.point is nasex napokuwa safe tu kwani sex ni starehe na idadi ya watoto napanga mie Kama mama full stop.
 
Mwenzio kamfanya mumewe bwege we unamuita dear? Yaani jamaa hata akiwa na genye mpaka asubiri siku mke atakayotaka yeye? Wtf
No safe days siku zingine condoms zihusike,hayo madawa yana negative effects kwenye miili ya wanawake mostly,hushangai binti anazaa katoto kamoja to then anageuka ka kiboko kwa kuumuka,then jamaa anaanza tafuna michepuko.
 
Hujawa mke wangu bado kabisa eti unaninyima gemu ..!!
Nitakuchapa matukio mpaka uone aibu mtaani
Kuna wanawake wa hovyo sana. Hivi jamaa akichepuka lawama za nani? Na pia asijifanye anajua kuzitafuta hela sana. This is life, ufakufa na kuacha kila kitu. Balance your life. Hata mafundisho ya dini yanasema mke atazaa kwa uchungu na mume atazisaka kwa jasho. Vice versa be true kwa huyo bidada.
 
No safe days siku zingine condoms zihusike,hayo madawa yana negative effects kwenye miili ya wanawake mostly,hushangai binti anazaa katoto kamoja to then anageuka ka kiboko kwa kuumuka,then jamaa anaanza tafuna michepuko.
Unamuonea sana mumeo wewe. Kama siku za hatari vaeni ndom. Ila mambo ya kumpangia mgegedo ni hatari kwa ndoa yako. Be warned. Usije sema hujaambiwa.
 
Kabisaa kaka yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…