Wengi haswaa watanzania mimba hutoka bila kujua mfano imeingia Leo baada wiki ukaugua ukanywa dawa za Malaria au UTI jua unatoa na utablid km kawaida!
Yaani wengi hutoa kwa bahati mbaya maana mwingine anakua hajapima bado
Mpira ndani ya nyumba inahitaji moyo, unajua kuna vitu unakuwa unavikosa kabisa, pia Mungu aliweka siku zenye mnyegeko ziwe za uzazi kwasababu alijua binadamu vichwa vigumu hawatazaana vyakutosha.na siku za hatari ndo mwili wa mwanamke unahitaji vibaya mnooo yaani tabu tupu!!cha msingi kutumia tu zana!!na ninyi msiwe wabishi tukiomba mvae mipira
Mie situmii hayo macontraceptives kamwe,I love my bodyMbona kuna contraceptives nyingi tu jamani
Vidonge
Kitanzi
Implant
Sindano
Mie situmii hayo macontraceptives kamwe,I love my body
Nina kababy boy kamoja 4 years now,then most of the time natumia condoms
Siku moja my man akanivizia akavua ndomu juu Kwa juu,nikaconcive
Kushtuka mimba ina 2 months nikasema it's ok nitazaa
Akaja na hoja tujadiliane tunafanyaje,nikasema noway that is my boy,and my body and mie ndio Nina last say kwenye body yangu.
Nikamwambia nazaa and will be my last born,ila toka siku hiyo nimemnyima game na nimemwambia tutasex nitakapo taka mie,ili niweze control idadi ya watoto otherwise atanigeuza incubator ilhal kampuni yangu yanisubiri.
Mpira ndani ya nyumba inahitaji moyo, unajua kuna vitu unakuwa unavikosa kabisa, pia Mungu aliweka siku zenye mnyegeko ziwe za uzazi kwasababu alijua binadamu vichwa vigumu hawatazaana vyakutosha.
Pole my dearMnooo!!Mimi nilishapoteza mtoto kwa dawa za UTI a!toka hapo nikajua na nikaanza kufatilia sana dawa hizi na namna ya kujikinga ukiwa mjamzito
Dada hayo yote umejulia wapiEeehh!!majani ya chai,mwarobaini mpk Mseto wa malaria
Hamna wanaume hawapendi ndomuhongera umepata mume dear sio wote
Umeona sasa nyie wanawake hamoendi mpira, je Umeolewa? Kama ndio wewe unatumia mbinu gani, huwenda utawasaidia wengi humu.Na bado wanatoaMimi binafsi sio mfuasi wa mpira!
WoyoooooLeo leo akipatikana naolewa
Vp kuhusu Misoclear rafiki!??Miso ndo funga kazi haikopeshi hyoo!!!ukiweka imechomoka!!!ila zinauzwa kwa siri kama bange
Nimekumiss pia jirani yangu upoJirani nimekumic mwenzio..
Nimekumiss pia jirani yangu upo
Mpaka mseto pia siyapendi yale madawaEeehh!!majani ya chai,mwarobaini mpk Mseto wa malaria