Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati


nimecheka kifala
 
Wewe ni shemeji yake dokta slaa au mume mwenzie?
 
ana mamlaka? Kapata api?
 
Mimi nadhani Makonda anachofanya ni kumrejeshea umaarufu Rais na Mwenyekiti wake.Wengine walikuwa hawamsaidii na wapinzani walianza kupanda chati kwa kuwa hoja,tuhuma,uongo dharau, matusi yalipita bila majibu na yakaaminika na wengi. Kisiasa ni mbaya. Makonda ni mwarobaini
 
Hii kauli ya Usimpite BOSS wako, ni kauli ya kupumbavu, kifedhuli, ujingaa wa WAAFRIKA.

Watu kama sisi aina ya Makonda, Huwa tunachukiwa na wazembe, wavivu, wajinga wenye chuki.



Watu wakubali ya kwamba, Kuna watu Mungu anawapa Kibali machoni mwa watu, hiyo ni Karama .

Makonda alinyimwa Akili ya Darasan, ila alipewa KARAMA YA KIUONGOZI.
 
Kama aliyempa kazi anaona sawa wewe kinakuwasha nini? ( KWA WASOMI WA BIBLIA)Yezebel alipotaka mumewe amiliki shamba la Naboth, alitafutwa mtu asiyefaa atoe ushahidi wa uongo ili Naboth auawe mumewe amiliki shamba hilo zuri la mizabibu. mbinu hizi zinztumika hadi leo kwenye siasa. ukitaka watu wakujue chukuwa bango mvalishe mwehu mwamulu apite kila kona akipiga kelele kukunadi, hakuna atakaye mzuia kwa maana wanajua ni mwehu lakini ujumbe wataupata.
 
Upo sahihi mkuu,makonda anachokifanya nj kulivuga bwana ili kambale wawaze kukamatika, na huu ni mkakati maalum kutoka juu kwa mwenyekiti Taifa.na kwa kweli imewasaidia sana ccm,naona matumaini na uhai wa chama unaimalika.

Lkn pia mleta mada ana hoja ya msingi sana,yaani ni hatari sana kuwa maarufu kuliko mkuu wa nchi, hili jambo haliwezi kuruhusiwa na vyombo vya usalama.historia inatuambia hivyo. Hii ni hatari sana kwa makonda. Yaani uwe maarufu kuliko rais wa nchi!, uwe na ushawishi kuliko rais wa nchi!, upendwe kuliko rais wa nchi!?, HAIWEZEKANI.MAKONDA AJIANGALIAE SANA,BAADA YA KUTUMIKA ATATUPWA JALALANI AU SHIMONI.
 
No, God lifts, makonda anakubalika. Wachukie wamfanyie baya lakini Watanzania si wajinga. Makonda fanya kazi zako hata muuaji naye atakufa tu.
 
Ni suala la aliye nyuma yake ( mwenyekiti)aweke kichwa kingine cha kumfunga kipunguza mwendo, ujana unamfanya anajisahau kwamba mwenye kuwa kwenye Headlines za nchi muda wote ni Raisi pekee.
 
Anachofanya Makonda ni sahihi ndizo siasa zinazohitajika kwa mazingira ya sasa ya kisiasa, akina Sofia na waenezi wengine walishindwa na CCM ilikuwa inaenda shimoni kijana amefufua ari hususani kwa watu wa chini kanda ya ziwa na kwingineko.
Sijui humu kuna watu wanaelimu gani. Oska Kambona alikosana na Nyerere kwasababu ya kuwa maarufu Kwenye baadhi ya taasisi hasa jeshini kuliko nyerere. Jeshi limegoma yeye ndio kaenda kulituliza.
Haiwezekani Jeshi likusikilize wewe likatae kumsikiliza rai kama ni hivyo wewe ni raisi basi. Alikiona cha mtema kuni.

Makonda afanye yote asiwe maarufu kuliko mama.
 
Amuulize Liberata Mulamula....

Moi aliwahi sema hakuna taasisi ina wivu kama ya urais!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…