Jamani program zangu zote 5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system bado?!...msaada tafadhari.
i hope baadaye itakuja kuwa poa tu,LEGIBILITY/ILLEGIBILITY
Jamani nikiclick kwenye "view my selection status wananiambia kuwa "you have not yet done application"wakati kwenye list ya wanafunzi ambao hawakuchaguliwa katika first round halimo jina langu,sasa sielewi jamani!msaada tafadhali!

Jamani program zangu zote
5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema
ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system
bado?!...msaada tafadhari.
ni tatizo la wote we tulia kwanza usije yakologa.
Mm kwangu my profile ilikuwa na yes zote..cha kusangaza nimekuta jina langu lipo na nilipo fungua my profile system inasema sory you hv not yet done application..nimefanya round ya pili kila nikichagua coz kule kwenye eligability ina sema no..nimevurugwa..msaada tafadhali.