Walio apply tcu & kaka zangu wa vyuoni!...

Hapa tcu celew hata nfanyeje coz.nimeangalia mchana profile yangu sa hiz naambia you have not yet done application.nisaidien wadau
 
Unamaanisha YES na NO hujawekewa? Kama ndivyo nenda kwenye profile yako view your selection status kua shemu utakuta imeandikwa Check for eligibility xo utaona red inasema CLICK HERE utaclick pale n utaacha mashine isach kwa hyo ki2.. Hata wale walioaply kwa 2nd round lazima wachek Hili ili kupata zile dondoo ndogondogo za coz walizojaza
,thanx bro,nishachek problem ni system,hvyo ngoja tusubiri response yao!
 
Mm kwangu my profile ilikuwa na yes zote..cha kusangaza nimekuta jina langu lipo na nilipo fungua my profile system inasema sory you hv not yet done application..nimefanya round ya pili kila nikichagua coz kule kwenye eligability ina sema no..nimevurugwa..msaada tafadhali.
pole sana kaka,bt kama jina lako lilionekana kwenye ile list yao ulipaswa kuaaply tena,na jina lako limeonekana kwenye list pengine coz ulizokuwa umechagua zilikuwa na competition sana,lakini pia jaribu kuwa mvumilivu kidogo kwan system kwa sasa ni ngumu xana,lakin pia keep in mind before deadline nenda uchek for legibility.
 
Back
Top Bottom