Walio apply tcu & kaka zangu wa vyuoni!...

BJ.Sahani

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
220
31
Jamani program zangu zote 5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system bado?!...msaada tafadhari.
 
Calm down my young brother..subiri after sometime ztakaa fresh zenyewe.
 
Jamani program zangu zote 5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system bado?!...msaada tafadhari.

Pole pole kijana zitakuja tu.... not eligible na Eligible
 
Duuuh mi pia nime apply jana.....inaniandikia hivyo hivyooo.......hivi ni kawaida????....mwenye tofaut aseme
 
Jamani nikiclick kwenye "view my selection status wananiambia kuwa "you have not yet done application"wakati kwenye list ya wanafunzi ambao hawakuchaguliwa katika first round halimo jina langu,sasa sielewi jamani!msaada tafadhali!
 
ni tatizo la wote we tulia kwanza usije yakologa.
 
Jamani nikiclick kwenye "view my selection status wananiambia kuwa "you have not yet done application"wakati kwenye list ya wanafunzi ambao hawakuchaguliwa katika first round halimo jina langu,sasa sielewi jamani!msaada tafadhali!

Hahahaa..nilijua tu unekuja tena baada ya post yako ya kwanza
 
Jamani program zangu zote
5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema
ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system
bado?!...msaada tafadhari.

Unamaanisha YES na NO hujawekewa? Kama ndivyo nenda kwenye profile yako view your selection status kua shemu utakuta imeandikwa Check for eligibility xo utaona red inasema CLICK HERE utaclick pale n utaacha mashine isach kwa hyo ki2.. Hata wale walioaply kwa 2nd round lazima wachek Hili ili kupata zile dondoo ndogondogo za coz walizojaza
 
Mm kwangu my profile ilikuwa na yes zote..cha kusangaza nimekuta jina langu lipo na nilipo fungua my profile system inasema sory you hv not yet done application..nimefanya round ya pili kila nikichagua coz kule kwenye eligability ina sema no..nimevurugwa..msaada tafadhali.
 
Jamani naombeni msaada..hivi bacherol of education with ict ndo inahusu nini?
 
Mm kwangu my profile ilikuwa na yes zote..cha kusangaza nimekuta jina langu lipo na nilipo fungua my profile system inasema sory you hv not yet done application..nimefanya round ya pili kila nikichagua coz kule kwenye eligability ina sema no..nimevurugwa..msaada tafadhali.

Kama jina lako halipo miongoni mwa majina yanayotakiwa kuaply for 2nd round bas huna tatizo.. Huna tatizo la kuambiwa you are not yet done application limejitokeza karibu kwa watu wote cku ya leo.. Hivyo bas nakusih usiguse tena sehemu ya applctn subir mpk mtandao wa tcu utakapotulia kila kitu kitakua poa Afande
 
Back
Top Bottom