Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
-
- #81
Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!
Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!
Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
Hayo mapikipiki ni mapambo tu especially kwenye shughuli za kitaifa kama hizo.Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!
Hehehe ila manufaa yake ni makubwa sana, kwanza kwa sehemu kama taifa kwa jinsi kulivyokuwa na nyufa kwenye ulinzi walitakiwa wawe na hiyo mitambo ya kujam mawasiliano ya simu.Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!
Mfano mdogo, sasa hivi Kenya and co wako desperate na intergration ya EAF na wanaona serikali ya Tanzania inasuasua sasa what if kuna mpuuzi kwenye cabinet ya moja ya hizi nchi apendekeze wamuassassinate rais wetu(God Forbid) watatumia hizi hizi loopholes ambazo sisi tunazidharau.Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
Hapa kuna matatizo on all points
RAIS WETU hana:
1) Ulinzi wa kutosha kwenye point of attack kwa sababu ya uwazi wa uwanja wa Taifa
2) Kwa jinsi mapikipiki yalivyojazana pale sidhani kama kuna uwezekano wa ku evade assailants and escape as soon as it should be
...kwa sababu wote tunajua kazi ya pikipiki ni kuondoa traffic njiani sasa Taifa kulikuwa na traffiic ganimpaka kuwepo na piki piki zote hizo?
Pili for obvious reasons hilo gari alilokwemo ras linaonekana kwanza lenyewe ni threat in terms of security kwa sababu ikitokea incident how fast can they protect MKWERE bila kumdhuru?
I dis agreee
NOT GOOD ENOUGH kwa bajeti wanayopewa...rais amekuwa exposed sana pale Taifa jana.
What makes you think hakuna mile ambaye anaweza kujifanya mwandishi au akatumiwa kukaa pale juu na zile camera za TVPersonally i think this was a serious breach na someone should take a hike
Jamani let us be frank!
Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa MKWERE sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!
MKWERE ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!
Ni wasi2 wetu tu!
Mkuu GT, si lengo langu kuwafanya wajinga, ila najua kuwa kwa umbo la huyo bwana (na sidhani si ubwanyeye, maana the guy is just big, but not overfed), una judge the book by its cover. That is not wrong anyway.
Nimesikia bajeti za hawa watu zikiwa zinapigiwa kelele sana kila zinapotakiwa kuongezwa, na sasa ili kupata vyombo kama hivyo vya watendaji wa mataifa mengine, nadhani itabidi "tule nyasi tena..." lol...
...uwanja wa taifa ni sawa na "bakuli", kama kutakuwa na any form of attack, ni rahisi ku control entry/exit points zote haraka iwezekanavyo, labda hiyo attack ije tokea angani.
...kuna career assailants na deranged assailants, hapa unazungumzia yupi/wapi? whatever the case, hiyo "ring" ya mapiki piki, ni small armed/armour assailant tu ndiye atayeweza kuzusha "shock and awe." kosa kama lile la lilotokea Mwanza 2005 kipindi cha kampeni ni nadra sana kutokea tena.
...gari hilo hutumika kuzungukia ndani ya uwanja tu baada ya mheshimiwa kukagua gwaride ili kusalimiana na wananchi, si nje ya uwanja.
...mambo ya PvP (Player(s) vs Player) hayo... who will react faster. Refer to the types of assailants.
There is only one BG per principal. There may be a day BG and a night BG but generally there is only one BG on one principal at any one time. The other 'Bodyguards' are referred to as the PES. The BG is the person that will be in close contact with the Principal at all times. His job is to shield the Principal from any danger, i.e. to give 'body cover'. The BG forms the inner cordon of defence and is responsible for seeing that no threat gets past him and to the Principal. When working as part of the PES, the BG is the one that never stands and fights. He runs away (with the Principal of course), giving body cover as he does so. This role can be (dependant upon the situation) in complete contrast to that of the PES
Mkuu hawa kazi yao hawataki kumuamini mtu yoyote linapokuja swala la ulinzi wa kiongozi...Alafu hizi sera za globalization inabidi tufikirie globally sio tena locally, fine hakuna threats ndani ya nchi vipi kuhusu nje ya nchi?Jamani let us be frank!
Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa MKWERE sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!
MKWERE ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!
Ni wasi2 wetu tu!
Jamani let us be frank!
Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa MKWERE sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!
MKWERE ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!
Ni wasi2 wetu tu!
Mkwere ana maadui kibao including Walalahoi like myself,nothing personal but the guy's so far failed to deliver....na bila kusahau wale alowatengeneza katika maisha yake ya "kimjini."
Rumour has it kwamba anaiamini zaidi "kamati yake ya ufundi" kuliko hao BGs wake!