mlwilomlwilo
Member
- Dec 25, 2018
- 65
- 51
Christiano akistaafu soka mpe miezi6 tu utamkataa, atanenepa kama Rinaldo de Lima, saivi bado yupo fit kimazoezi anamalizia malizia kukwangua ukoko wa pesa za matajiri wa kibibi kizee cha Turin.Yaani hilo wazo la kujimini ati tuna amani ni kosa kubwa. Ulinzi upo vzr na mpangilio wake wanajitahidi japo ni too costful.
Wajitahidi na kupunguza ubonge. CR Ronaldo ana kila kitu na access ya misosi yote atakayo bt yuko fit kiumbile kuliko mabonge wetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app