Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
[emoji769]Siku akitekwa mkeo au mtoto wako Ndio akili itakuka sawa, alafu akachukuliwa video kama za yule Porn Star [emoji93]. Ndio Akili itakukaaa Sawa
 
Kipindi kile mbowe alivyokuwa anakula wema sepetu,bidada yule alimfundisha mbowe mbinu nyingi sana za kwenye bongo movie kama vile kujiliza na kucheka pia pasipo sababu. Sasa hivi maigizo anayajua vizuri.
 
Vijana wa kupiga Kura katika jimbo hili la Hai namba kama imepungua sana, ila bado asubuhi. Wapiga kura vijana wakipungua ni hatari sana kwa upinzani. Nilikuwa tarafa Kyeeri,nimepita tarafa za Nshara, Nkoraya, Nkuu, Mwowe na Nkweseko. Jimbo la Hai wanaweza kuja na hadithi mpya kabisa.
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Hao ni walinzi au ni wagonjwa?
Alipo waajili aliwafanyia usaili au aliwaokota na kuwaita walinzi.
Mlinzi gani anatekwa na wahuni?
Aache porojo, yeye mwenyewe awambie warudi kutoka alipo wapeleka.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Sababu ya tabia ya mbowe ya uongo uongo, inaweza kuwa ni kweli walinzi walitekwa au ndo mwendelezo wa katabia kake.
 
Hiyo English mbovu sana iondoeni inamchafua mr zero tonite /tonight
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Naona movies zinaendelea, jana ilianza na ya chopper kutoruhusiwa kuruka kumbe maombi mmepeleka saa 3 ya siku ile ile
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
WEWE NJAA UMETAFUTA UTEUZI KWA MUDA MREFU BADO UNAENDELEA TU...KIBONDE NAE ALITAFUTAAA HADI KAENDA AHERA ILIKUWA BADO .....ANYWAY ENDELEA KU BET UNAWEZA BAHATISHA
 
Yule mwenyekiti wa Cdm Jana kang'olewa meno naye anajifanya ?!. Hujui machungu wanayopitia wapinzani. Hata Lissu mlidai amejishambulia mwenyewe [emoji107]
Ndio alijishambulia kwanini mlizi wake yuko salama mpaka Leo ,Chadema ni waongo ,
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Yapo makitu yanayo endelea kumuaminigi Bwana yule!na hata hili wataliamini,wa Tanzania tunaonekanaga wajinga Sanaa,mlinzi wako atekwe ww uwe salama ilihali ww ndiyo mlengwa,pili ka Tweet saa nane na nusu usiku wakati tweeter haifanyi kazi,tatu hivi Kesha sahau alitudanganya kuwa kavamiwa na kupigwa na kuvunjwa mguu kumbe alikuwa ka gida Faru John,tangu kipindi kile mm simuamini Sana huyu bwana
 
Ndio alijishambulia kwanini mlizi wake yuko salama mpaka Leo ,Chadema ni waongo ,
Unauliza swali lilitakiwa liulizwe na vyombo vya dola. Sasa kama kuna mtu ndani ya Cdm anaweza kufanya uhalifu huo mbona vyombo hivyo vya maamuzi havishughuliki naye ?! .
 
Huna akili we mzee, naumia sana kuona unaandika ujinga, eti inaweza kuwa kiki. Leo naamini wewe ndio ulimchongea Kabendera mwanzo sikuamini, mpaka jana nilipoona thread yako unaomba twitter ifungiwe Tz, nimekudharau sana.
Ipo siku ataomba kuzibuliwa...tunakoelekea kubaya.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Hivi popo ni mnyama au ni ndege
 
Ile ya jumapili ilopita mfanyakazi wake kupigwa risasi iliishia wapi?. Maana sijawahi sikia tamko lolote toka kwa DJ. Hao wazungu mnaowatengenezea hizi propaganda kama wanawaamini basi Watanzania tutakuwa tuko smart zaidi yao.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Wakati mwingine unatakiwa kuficha upumbavu kama jambo ulijui; waluipo kwenye inner cycle wanajua na wameamua kunyamaza.

Unaleta ujinga na upumbavu kwenye maisha ya Watanzania. Ulishaonesha wewe ni mwanaCCM uwezi kua objective tena.
Waliotuma na kutumwa wanajua ukweli; wewe hujui ukweli bora unyamaze. Wanahabari kama wewe ndiyo chanzo cha vurugu.
Nimekuomba bora unyamaze kwenye mambo usiyoyajua kipindi hiki cha uchaguzi utavuruga jamii.

Ulianza kipindi cha Lwakatare ukapotosha sana...ukapotosha kipindi cha Kabendera na bado unaendelea kupotosha kwa kutumia kalamu kama mwanahabari. Matukio bayari ya kuumiza wananchi unayaruka lakini unaenda kutoa habari ya kupotosha.

Ulianza adaa kipindi ya siku ya wajinga kwa namna ulivyoona ukitumie kuwaambia watu kua unaenda kugombea Ubunge kupitia CCM. Wewe ni mwanachama wa ccm unatumika kuadaa jamii.

Chondechode usituvurugie nchi; wengine tunapenda nchi yetu...madhira ya watawala unayaruka ..
 
Back
Top Bottom