Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Siamini kama aliyeandika hapa ni P og. Si bure itakuwa kabadilisha ubongo wote na kupewa fake Dodoma. Naomba Gwajima na Gamanywa wamuombee yamkini akatoka kwa mawazo ya msukule.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Hivi akili umepeleka wapi bro .. dah
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

walinzi nao wanatekwa bila ha kash kash?Mbowe haaminiki,tokea sakata la kuvunjika mguu akiwa na kimada akasingizia wasiojulikana wamemshambulia,credibilty yake imeshuka sana
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Duh..mbona wameanza mapema hivi!??
 
Mimi nipo Kyeeri, Machame Hai tuna fuatilia uchaguzi taratibu.Mtifuano kati ya Mbowe na Saasicha Mafue, wote wamepiga kampeni nzuri, na CCM mwaka huu naona wote wamekuwa wamoja.

Kura za Urais wote Kilimanjaro tunajua mwaka huu ila za Ubunge ndio tusubiri. Pakiwa na jipya nitahabarisha.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
kama kuwa kada unakuwa na kichwa cha kuku basi miye marufuku ukada. This is too low nowadays
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Pascal umevurugwa haswaaa. Kama nawe wamuunga mkono Sabaya kwa upuuzi anaoufanya huko Hai...sijui nikuweke kundi hilo hilo.

Nafikiri madhila wanayopata wahanga yakimpata mpendwa wako mmoja utaumia pia haijalishi umeapa kwa nani.
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
We kweli kiande ...au wahuni wanapita nn mbona mjinga hvyo
 
The end justifies the beginning. Destiny can not be reshaped. Mbowe remains a national icon.
Yes is national icon but if he looses election today, it is not that the election was riged, Wamachame wengi wao hawamtaki Mbowe.

I am at Kyeeri, Machame, will soon move to Lyamungo Sinde later to be at Machame Posta for most of my day.
 
Mimi ni toka Lumumba...ila hili lirijamaa linaitwa kigogo limetupiga spana haswaa.

Nati zimekaza haswaa, hazifunguki kirahisi.

Wale jamaa wetu wanaujua mziki wake
Et Lumumba🤔? Hebu acha porojo, nenda kapige kura najua uko Tz.
 
Mbowe ebu acha utani, walinzi wanatekwa kiulaini yaani bila hata kupambana? Hao sio walinzi ni wavaa miwani nyeusi tu, walinzi wako, wanatekwa mkiwa mnaona wote na wao wanaona, na hakuna hata ubabe mfanye kidogo kuzuia wasitekwe? Narudia acheni utani hao sio walinzi ni wavaa miwani nyeusi tu, huna walinzi kabisa hapo, chukua tahadhari kubwa.
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini

Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili

Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

Kaandika kimombo ili Amsterdam asipate tabu ya kutafuta translator
 
Back
Top Bottom