Kujipendekeza utaacha liniHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Hata walinzi wa Raised siyo wote wanalala ikulu.Walinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Huyu dogo inatakiwa achapwe bakora inaonekana hakuwahi chapwa utotoniKigogo alishasema jana kuwa Sabaya kakabidhiwa silaha na OCD "kwa ajili ya kazi maalumu"
Labda Walimuacha ili afikishe ujumbe kwa Amsterdam.Chakuchekesha ni kuwa iweje yeye mbowe anayedai maisha yake yapo hatarini asitekwe au kudhuliwa na hao watu ikiwa walinzi wake wamefanikiwa kutekwa?[emoji2]
Amekwenda very lowAcha unafiki na kujipendekeza, kuwa na aibu wakati mwingine usijifanye hujui yanayoendelea, mtu mzima hovyo
Soma vizuri walinzi wametekewa HoteliniVituko vya dj na saccos yake, walinzi wanatekwa wanao mlinda hajatekwa [emoji16][emoji23]
Cha kuchekesha nini sasa hapo, hao walinzi ulitaka wa-open fire ili mje na vichwa vya habari Mbowe ashambulia civilians?
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
mpaka mtu auwawe ndio mtaamini...hata lisu kuna wanaoamini ilikua kiki..16bullet alafu upone? ...ubelgj alienda kisiasa wala si kutibiwa....😠😠😠😠
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini
Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili
Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka

tunaanda mazingira ili tuwapeleke ICCMmeshaanza visingizio vya mapema!
Hawezi toa taarifa polisi maana watataka kuchunguza nae hataki uchunguzi Wala majibu, unakumbuka alivyolalamika polisi walivyotaka kuchunguza alivyoporomoshwa na nyagi?Ameshatoa taarifa polisi?