samesame
Senior Member
- Jul 21, 2019
- 143
- 324
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Vip mayalla ni hadithi au kweli walitekwa na mmoja mpaka sasa hajulikani alipo? au bado ni kiki??
Tahadhari mahaba yasidi maarif