Mbowe anachekesha kweli eti "walinzi wake wenye silaha wametekwa" na "maisha yake yapo hatarini" anaendeleaje?
Yaleyale ya kuvunjwa mguu dodoma.
Mbowe anachekesha kweli eti "walinzi wake wenye silaha wametekwa" na "maisha yake yapo hatarini" anaendeleaje?
Huwa naheshimu michango yako na pia kukutea wanapokutukana. Lakini kumbe wako right. Unaongea mipasho badala ya ku argue objectively. Pathetic!Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Mbowe mwongo,hakuna walinzi walitekwa anadanganya ummaHaya mambo haya daahh [emoji40]
Kwanini waitishe uchaguzi kama hawautaki ?!
Hahahahah ameanza kulialia tayari....[emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe anachekesha kweli eti "walinzi wake wenye silaha wametekwa" na "maisha yake yapo hatarini" anaendeleaje?
Mbowe mwongo,hakuna walinzi walitekwa anadanganya umma
Mbowe ni mhuni Kama wahuni wengine tunajambo lete[emoji3][emoji3][emoji3]Walinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Unatekaje mlinzi afu unamwacha anayelindwa huu ni uzwazwa [emoji23][emoji23][emoji23]Tuthibitishie uongo wake
Kwani huoni kuwa huo ni uzushi wa kitoto kabisa ,acha ujinga ndugu yanguHuwa naheshimu michango yako na pia kukutea wanapokutukana. Lakini kumbe wako right. Unaongea mipasho badala ya ku argue objectively. Pathetic!
Yule mwenyekiti wa Cdm Jana kang'olewa meno naye anajifanya ?!. Hujui machungu wanayopitia wapinzani. Hata Lissu mlidai amejishambulia mwenyewe [emoji107]Unatekaje mlinzi afu unamwacha anayelindwa huu ni uzwazwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Njaa +kura 0Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Wewe paschal umekuwa mtu mjinga kuliko wale wa Lumumba, pumbavu kabisaHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Porojooo tu hizooooooKaandika kimombo ili Amsterdam asipate tabu ya kutafuta translator
Waziri wa kukuu labdaaaaaSi alisema yeye leo atakua waziri mkuu nasemaje ajibebe..
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Lishakuwa takataka hili lichumia tumbo hovyo sanaKada umekuwa cheap sana siku hizi, very shallow, unaropoka hovyo kama mtoto mdogo.
General Mangi unataka kuharibu siku yetuuMimi nipo Kyeeri, Machame Hai tuna fuatilia uchaguzi taratibu.Mtifuano kati ya Mbowe na Saasicha Mafue, wote wamepiga kampeni nzuri, na CCM mwaka huu naona wote wamekuwa wamoja.
Kura za Urais wote Kilimanjaro tunajua mwaka huu ila za Ubunge ndio tusubiri. Pakiwa na jipya nitahabarisha.
Huyu mpumbavu tangu alipoitwa kuhojiwa bungeni amekuwa na mafunza kichwaniHuna akili we mzee, naumia sana kuona unaandika ujinga, eti inaweza kuwa kiki. Leo naamini wewe ndio ulimchongea Kabendera mwanzo sikuamini, mpaka jana nilipoona thread yako unaomba twitter ifungiwe Tz, nimekudharau sana.
Chakuchekesha ni kuwa iweje yeye mbowe anayedai maisha yake yapo hatarini asitekwe au kudhuliwa na hao watu ikiwa walinzi wake wamefanikiwa kutekwa?😃Cha kuchekesha nini sasa hapo, hao walinzi ulitaka wa-open fire ili mje na vichwa vya habari Mbowe ashambulia civilians?