Sasa kwa akili yako unaona pana chochote kimetokea hapo?Kada umekuwa cheap sana siku hizi, very shallow, unaropoka hovyo kama mtoto mdogo.
Mpaka damu imwagike ndio mtaona wahuni nyie.Sasa kwa akili yako unaona pana chochote kimetokea hapo?
Huyu kigogo ni mtu hatari kabisaKigogo alishasema jana kuwa Sabaya kakabidhiwa silaha na OCD "kwa ajili ya kazi maalumu"
Nakuelewa kwa mbaliHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Kwasasa bora ukae kimya maana unaendeshwa kwa remote njaa mbaya sanaHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Wanatekwa kizembe hivo..Walinzi wapuuzi sana
Hata kama unajipendekeza sana kwa njaa njaa zako not to that extent.Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Yaani kwasasa umekuwa hovyo namna hiiHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Walinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Sasa anaweka walinzi wa nini?Cha kuchekesha nini sasa hapo, hao walinzi ulitaka wa-open fire ili mje na vichwa vya habari Mbowe ashambulia civilians? Kuku wa kijani nyie
Haya mambo haya daahh [emoji40]
Kwanini waitishe uchaguzi kama hawautaki ?!
Kwa Tanzania yetu hii mbona ni kawaidaWalinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Huna akili we mzee, naumia sana kuona unaandika ujinga, eti inaweza kuwa kiki. Leo naamini wewe ndio ulimchongea Kabendera mwanzo sikuamini, mpaka jana nilipoona thread yako unaomba twitter ifungiwe Tz, nimekudharau sana.Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P