Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Wewe watu wenye akili tulikwisha kudharau kama mavi!! Ndio maana hata maccm wenzako wote wa kawe walikunyima hata kura moja!!
 
Mbowe anachekesha kweli eti "walinzi wake wenye silaha wametekwa" na "maisha yake yapo hatarini" anaendeleaje?
Acha upotoshaji wa wazi wazi, au kama hujui kusoma na kuelewa omba msaada! Mwenye kuanzisha mada amesema ; walinzi wametekwa na watu wenye silaha”, na siyo walinzi wenye silaha kama Wewe unavyotaka kupotosha!
 
IMG_5784.png
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

Wewe unazeeka vibaya. Umekuwa boya kweli ndugu yangu. Si wewe tena uliyejichulia umaarufu mkubwa miaka 20 iliyopita. Hufai hata kuombewa, acha uangamie taratibu.
 
Hawa walinzi wa Mbowe waliotekwa sidhani kama Ndo Hawa waliopo Mahakamani kwa Sasa. Maana Hawa kina Adamoo na Lingwenya waliotekwa mchana.
 
Hawa ndiowalikuwa wanaenda kuanza kazi....kumlinda Mbowe
 
Tonite @ 2.30 am & in the eve of an election day in Tz, heavily armed gangsters believed to be the notorious operators of Hai DC Ole Sabaya & protected by Hai Police OCD have raided our hotel, kidnapped & disappeared with two of our armed security guards. My life is in danger.
 
Niliona jana usiku Kigogo anasema Sabaya kapewa silaha na OCD Hai hawakujua zinaenda kutumika kwa kazi gani, kumbe ndio kazi yenyewe hiyo.

Huu utawala wa Magufuli ni laana kwa hili taifa.
Siku hizi Kigogo kaamua kuungana na watekaji kuwa mpiga debe wao, tutaelewana tu na "harakati" za matumbo yao.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Fuatilia kinachoendelea mahakamani kwenye hii kesi ya ugaidi, ndio ujue kwa kiasi gani kutaka kwako madaraka kumekugeuza mpuuzi.
iFu raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P

MKUU mpaka sasa bado kwako wewe ni kiki sivyo!!

Angalieni namna mnavyotoa comment zenu, hata kama mnatafuta kula ila wakati mnatetea uovu na wengine wakiwa wanaumia, haileti picha nzuri kwenye jamii!!

Karma huwa hamuachi mtu, hata kwa kutetea tu kwa maandishi kuzika haki ya mtu itawafuateni tu!!
 
Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.

Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.

P
Enzi za dikteta kabila lako ulijitoa fahamu aisee
 
Back
Top Bottom