Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

Yaani mimi nijitoe kulisaidia jitu lililokua linaninyuka kila siku viboko vya makalio kisa hesabu hazipandi kichwani si nitakuwa tahira!
 
Nyie walimu wa shule ya msingi SIMA BARIADI SIMIYU enzi hzo nawapa hi sn...
mwl maligende
mwl alexander
mwl bomani
mwl mtebe
mwl manyiri
mwl stela
mwl mkuu rumala
mwl mkuchu
mwl kidai ( R.I.P )
mwl malongo
mwl mkuu sunday ( R.I.P )
mwl nyarufunjo
HAWA NAWAKUMBUKA SJUI KAMA WOTE BADO WAPO HAI maana enzi hzo ukimwi ulikuwa machachari sn na hakukuwa na vidonge walimu wengi walipgwa na umeme..
 
Yote ayo yashasepa na umeme 😂😂😂
 
Unaweza kuwa na Elimu ila huna akili, mfano walimu na palamagamba kabudi
 
Hawa wanaokashifu walimu ni watoto. Hawajui maisha. Maendeleo ni juhudi binafsi. Wapo walimu hadi wamekuwa Rais wa nchi hii. Kuna mawaziri,makatibu wakuu walikuwa walimu.
Ma ex tulikutana London baba yake alikuwa mwalimu. Walikuwa wanaishi Tabora baba yake kajiendeleza mpaka akafikia ukutugenzi wizarani. Kawasomesha yete UK mdogo wake USA. Sasa hivi wote wanaoshi USA mzee kastaafu vizuri kabisa. Mifano ipo mingi.
 
Ongezea pia ni kada yenye majungu zaidi
 
Ila twende mbele turudi nyuma kipindi kile Elimu kabla haijaanza kutolewa bure kuna baadhi ya walimu walipiga sana hela za michango kwenye hayo mashule ya Kata...yaani kuna baadhi ya walimu waliota vitambi utadhani wanafanya kazi BOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…