Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Kwani sasa hivi bila vpn unatoboa kuingia jf?Hivi ni walimu kweli ndo waliosababisha tutumie vpn kuingia jf?
Hutoboi mkuuKwani sasa hivi bila vpn unatoboa kuingia jf?
Hilo lenyewe ni limwalimu la mabibo primary school tena anajitolea mwaka wa 6 huu, ndo maana anapata muda wa kupiga umbea