mkuu inawezekana huelewi kuwa waalimu wanafundishwa HAIBA ya ualimu na MAADILI katika masomo yao ni tofauti na fani zingine ambazo watu tunapuyanga kama kondoo asiyekuwa na mchungaji.kwenye mke sikushauri mkuu.usije ukarudi kwangu yakikushindaSo unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...
mkuu kuna mavazi ya waalimu tofauti.na customer care wa voda/Tigo.sio mbaya wabadilike lakini tusipoteze imani nao katika jamii.wao ni walezi na vioo vya jamii.Mkuu unataka mpaka leo waalimu wawe wanavaa gagulo la rangi ya jani la mgomba uku wamesuka twende kilioni au wamepaka zazuu kichwani na viatu vya Juma na Roza ndio uone kua sio micharuko,siku hazigandi kaka acha nao waende na wakati alafu imani kua waalimu ndio kisima cha kusaka wakuoa imepitwa na wakati
Wanafunzi wote watafeli kwa kushangaa madam model/cutelicious!
'Taaruma" ndio nini?So unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...
madam hayo ni matumizi mazuri ndio maana hata serikali inampango wa kuwapa laptop.lakini kuwa muwazi wote mnatumia mitandao in a constructive way? ndio maana nimesema baadhi.wivu unakusumbua kada yako inadharaulika, tutapata wapi material uptodate tusipopekua kona mbalimbali unataka wanafunzi watuaibishe kwenye current issues??
mfano mwalimu wa civics daily majipu yanatumbuliwa mawaziri wapya, mifumo ya serikali ama unataka akaseme bado waziri mkuu ni Sumaye? tuache best hatutaki kupauka tena na siee
sio kweli kuna maadili ya upolisi.kama hayafuatwi hatuwezi kusema ni jamii nzima.pia kwa waalimu kuna ethics wanafundishwa.sijakurupuka.Kila mahali kuna akina dada walioharibika tabia. Kuoa si kutazama taaluma ya mtu. Ni kumtazama mtu mwenyewe.