mtoto wa mlalahoi ndiye anayedhurika at last! wakwao wanasoma kwenye ma-academy na ma international schools! au nje ya nchi kabisa! stupid president ever! thats kikwete!
mtoto wa mlalahoi ndiye
anayedhurika at last! wakwao wanasoma kwenye ma-academy na ma
international schools! au nje ya nchi kabisa! stupid president ever!
thats kikwete!
Taratibu cacico. Huyu ni rais
wetu kipenzi, Dr. Dr. Dr. Dr. Dr. Dr., mwanademokrasia, mtu wa watu,
anajichanganya na wananchi wa matabaka yote, mwenye mvuto ndani na nje
ya nchi na anayeshikilia rekodi ya kuchaguliwa kwa kura nyingi zaidi
kuliko rais mwingine yeyote tangu kurudi kwa siasa za vyama vingi. Tumia
lugha laini kidogo kama utamaduni wetu wa watanzania ulivyo.
mtoto wa mlalahoi ndiye anayedhurika at last! wakwao wanasoma kwenye ma-academy na ma international schools! au nje ya nchi kabisa! stupid president ever! thats kikwete!
na 1+1=11 hapo mtajua sisi walimu ni nani3x3=33 WELL DONE,ha ha ha ha ha
be confident on it, we are supporting you walimu.
Ndugu zangu walimu,kazi yenu ni kubwa mno,kama si ninyi hata sisi tunaochangia tusingeweza kuchangia.
Haki haupewi kama zawadi unaipigania.
Madai yenu yote yanawezekana,Kikwete amekuwa ni mtu asiye na utu ndiyo maana hawezi kufikiri.
Mwezi huu wabunge wamelipwa millioni kumi na moja,je wao wanapata mahitaji yao kwenye nchi tofauti na Tanzania?
Gharama za kuendesha ikulu tu zinaweza kutimiza mahitaji yenu yote,basi kama Kikwete ameona serikali haiwezi angeamua kufunga mkanda wa offisi yake na kuwapa haki yenu ya msingi.
Walimu hapa tulipofika mmetufikisha ninyi,kwani mmekuwa wadau wakubwa,hivyo kwangu huu ni mpango wa Mungu wakuwafungua macho muone wapi mlipo.
Songeni mbele mimi pia niko upande wenu.
gfsonwin na cacico punguzeni hasirashostito msiri wangu msikilize kaka mkubwa Mr Rocky. Ila miye kweli sijenda jon nnimegoma bado i will be the last person kwenda aisee. let matters take their natural way to me.
Dawa ya waalimu ni mshahara tu,wakitishiwa kusitishiwa mishahara yao wananywea.Hapa kitakachofanyika ni kuimarisha Idara ya ukaguzi wa shule.