Walimu waahidi makubwa - Lazima kitaeleweka

Naamini sasa hata wale walimu waliokuwa wakisaidia kubeba masanduku ya kura kwenye uchaguzi na kuiba kura watatusaidia mwaka huu!
 
Mwalimu ndio kila kitu. Sawa na mtu anayekuandalia chakula ukizingua maisha yako yanakuwa hatarini. Serikali halioni hilo.
 
attachment.php
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nimecheka mpaka basi ahhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
gfsonwin na cacico punguzeni hasira
Hawa jamaa wanajiamulia tuu ila hawajui madhara yake ni yapi
Ila mwishoni watayaona kwenye matokeo mambo yatakavyokuwa ovyo
Mr Rocky ninahasira sana na watawala wa nchi hii ambao wao wanataka madaraka ili tu watunishe mifuko yao bali si kumsaidia mnyonge ajinyunye kutoka mavumbini alipo. real the end is near wacha tujaribu bana tukichinjiwa badharini na opposition poa tu.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni waalimu hivyo unaweza kufikiri wanachofanya madaktari. Wao hawatumii chaki na ubao wanatumia mwili wako na wangu

Kuna haja ya kuomba Mahakama waingilie kati waaandao monitoring ya hawa waalimu wasitufanyie mchezo. Lazima wafundishe na work plan zao ziwe approved na Chief Justice.

Pia daktari akikuandikia sindano iwe approved na RC au DC pia akikunyima sindano ajieleze

We must be joking

Sasa mkuu hizo hela za kumlipa hakimu kwenda kumkagua mwalimu, RC na DC ku approve profession ya u dr ambayo kwayo wao ni mbumbumbu wa mwisho. Nahuyo chief justice si wangeitumia kupunguza matatizo ya ma dr, walimu na watumishi wengine?

Unafikiri km raisi wako, pole.
 
Hawa Walimu Badala ya kuhamishia hasira zao kwa wanafunzi, nawashauri (kama kweli wako serious) wamalizie hasira zao CCM -kwenye uchaguzi mkuu 2015.
 
mwalimu kama yaya ukimnyima posho atamtia masinge mtoto; atakuywa maziwa yake ata... duh. wanadhani ualimu sawa na kusomba matofali kwamba utayona matofali yaliyosombwa hapohapo.
 
mwalimu kama yaya ukimnyima posho atamtia masinge mtoto; atakuywa maziwa yake ata... duh. wanadhani ualimu sawa na kusomba matofali kwamba utayona matofali yaliyosombwa hapohapo.

Umemaliza mchezo, bado tu hawaelewi!
 
Nchi ya migomo baridi....sijui hawa watawala hawaoni wanakotupeleka, kazi kweli kweli
 
Bado ninaamini walimu wana akili timamu na wanajua nafasi yao katika Taifa. Kwavile serikali ikiwa na shida hukimbilia walimu (kuandikisha wapiga kura etc) lakini kwenye madai yao wanaonekana hamnazo, basi wasikubali kuwa 'spare tyre'. Waingie ulingoni tuone nani mshindi. Wasipotoshe watoto wetu kwavile hawana kosa bali wawaelimishe jinsi serikali na chama chake vinavyokumbatia mafisadi na kuwadharau walalahoi. Hili somo la uraia likifanyika vizuri haswa sekondari, miaka mitano tu ijayo walimu watavuna. Wakati wa kupanda ni sasa kwasababu waliyemtegemea amewatelekeza. Mwenye masikio na asikie neno hili mzawa awaambia walimu.

mimi nimeshaanza kupanda siku nyingi mkuu, watoto class wanaelewa kabisa adui yao ni nani. Wameahidi 2015 watatoa hukumu.
 
walimu wana ushawishi mkubwa sana katika jamii, hasira zenu mkizitumia kuwapa elimu ya uraia wanafunzi na jamii inayozunguka kuhusu udhaifu wa serikali ya ccm, hakika uchaguzi ujao utajaa tumaini jipya
Huu ndiyo mzizi wa fitina. Ukifanya hivyo, magamba byebye!!!!
 
Hawa Walimu Badala ya kuhamishia hasira zao kwa wanafunzi, nawashauri (kama kweli wako serious) wamalizie hasira zao CCM -kwenye uchaguzi mkuu 2015.

Tunaanza kuharibu mwaka huu huu. Matokeo ya mitihani yote ya mwishoni mwa mwaka lazima yawe hovyo. 2015 nh kumalizia kazi tu.
 
Waalimu wenyewe vilaza.

Mzee nimekukubali! Umewaona walimu ni vilaza baada ya kuwa unajua kusoma na kuandika! Ama kweli nakubaliana na wale wasemaji wa kale kwamba hana uwezo wa kujiona nyuma yake (ashakhum....)!!!!
 
Sasa mkuu hizo hela za kumlipa hakimu kwenda kumkagua mwalimu, RC na DC ku approve profession ya u dr ambayo kwayo wao ni mbumbumbu wa mwisho. Nahuyo chief justice si wangeitumia kupunguza matatizo ya ma dr, walimu na watumishi wengine?

Unafikiri km raisi wako, pole.

Koku umenielwa kweli ? soma tena ....ni fumbo
 
Back
Top Bottom