Walimu wa sayansi ajira mpya kuanza na mshahara mkubwa zaidi ya walio kazini. Je, utumishi kuna shida?

Aliyekuzidi sasa hivi hata salary ya miezi 6 ya mwisho atakuzidi labda uje umpite miezi ya kufanya kazi
Mkuu kama hujui akipanda daraja moja increment zinafutika.

Kama Mtumishi akimaliza masters anapewa 2 increments akipanda zinafutika pia
 
Kilichoongezeka na kinachozungumziwa ni tofauti ya Fedha taslim Tshs 30,000 tu!
Kweli huu ni uchumi wa kati wa chini!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Kijana fresh from college kumzidi veterani mwenye miaka 7 kazini kwa 30,000/= kwako unaona ni sawa?
 
Sijaajiriwa nisijaji sana ila kupitwa Tshs 30,000?? labda ingekuwa Tshs 300,000..

Mimi mkulima nilishazoea leo asubuhi box ya nyanya yaweza uzwa sokoni 50,000 kesho ikauzwa 5,000, so haya maisha kulinganisha mwenzako alipata au anapata nini, ni kama hatuna. Unaangalia unachokipata unajipanga kuishi nacho.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Kwanini usikusanye mshahara wako au usichukue mkopo ukaanzisha biashara ya pembeni/ukajiajiri kabisa?

Nina nukuu kauli ya mmoja wenu "waalimu tunachukiana"
 
Sijaajiriwa nisijaji sana ila kupitwa Tshs 30,000?? labda ingekuwa Tshs 300,000..

Mimi mkulima nilishazoea leo asubuhi box ya nyanya yaweza uzwa sokoni 50,000 kesho ikauzwa 5,000, so haya maisha kulinganisha mwenzako alipata au anapata nini, ni kama hatuna. Unaangalia unachokipata unajipanga kuishi nacho.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Unalimia wilaya gani nije tuungane kupunguza umasikini?
 
Back
Top Bottom