Walimu wa sayansi ajira mpya kuanza na mshahara mkubwa zaidi ya walio kazini. Je, utumishi kuna shida?

Nyinyi uzoefu wenu upo katika kuisaidia CCM kuiba kura wakati wa uchaguzi tu, So if you are not happy with salary you are getting, employ yourself or go to HELL and present this nonsensical claims. Mwalimu gani unawaonea wivu wa kishamba wenzio!!!
Sidhani kama anawaonea ni wivu nafikiri anasisitiza sheria za ajira ziendelee kufuatwa kwamba watumishi wote sio walimu peke yao wapewe nyongeza zao za mishahara kwa mwaka kama ilivyo kwenye mikataba yao ya ajira, ambazo ndizo zingeweza kuwahamisha hao walimu kutoka D1 ya mwaka 2014 hadi D7 leo hii (kama D7 ipo)
 
nani kapandishwa daraja?
Wanangu nyie uzi hamuuoni unasema kuhusu mishahara ya vijana walioajiliwa juzi mikubwa kuliko Ile ya walimu waliowakuta!

Vice versa is True wadau...
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wanaodharau nguvu ya 30,000/= kazi zao itakuwa wana overtime kila siku na semina za kutosha
Hata ukiacha kikokotoo, ukiongezewa 10000 inakuwa imekusaidia parefu sana.
Nakumbuka effect ya kupunguzwa kwa PAYE ilivyotusaidia, ingawa iliongezwa kidogo tu. So hiyo 30000 ni very significant
 
Ajira mpya wenye shahada kwa walimu wa science wameanza na ngazi ya mshahara wa TGTS D3.
Wakati wale walio kazini tangia mwaka 2014 bado wako ngazi ya mshahara TGTS D1. Kwenye utumishi kwa kawaida mwenye uzoefu anatakiwa awe ngazi ya juu kuliko mgeni ila hii ya sasa hivi imekuwa pindua pindua.

Utumishi kuna shida gani?
watawaupgrade tu wote mtakuwa sawa.
 
Kweli nazidi kuamini Walimu ni watu wenye majungu na roho za kichawi sana hasa wakiona mwenzao kapiga hatua
 
Ajira mpya wenye shahada kwa walimu wa science wameanza na ngazi ya mshahara wa TGTS D3.
Wakati wale walio kazini tangia mwaka 2014 bado wako ngazi ya mshahara TGTS D1. Kwenye utumishi kwa kawaida mwenye uzoefu anatakiwa awe ngazi ya juu kuliko mgeni ila hii ya sasa hivi imekuwa pindua pindua.

Utumishi kuna shida gani?
Nyoosha maelezo mkuu mwalimu wa sayansi mwenye digrii analipwa Tsh ngapi?

NB sisi wote sio walimu, hatujui TGDF unspoweka utofauti sijui wa 30 unatuchanganya weka mshahara kamili
 
Ajira mpya wenye shahada kwa walimu wa science wameanza na ngazi ya mshahara wa TGTS D3.

Wakati wale walio kazini tangia mwaka 2014 bado wako ngazi ya mshahara TGTS D1. Kwenye utumishi kwa kawaida mwenye uzoefu anatakiwa awe ngazi ya juu kuliko mgeni ila hii ya sasa hivi imekuwa pindua pindua.

Utumishi kuna shida gani?
TGS D >>>> Kwa hiyo mkubwa unalalamikia sh.590,000-567,000=...... au ?
TGS D 1. (Sh567,000),
TGS D 2. (Sh578,500),
TGS D 3. (Sh590,000),
TGS D 4. (Sh601,500),
TGS D 5. (Sh613,000),
TGS D 6. (Sh 624,500),
TGS D 7. (Sh636,000),
TGS D 8. (Sh647,500),
TGS D 9. (Sh659,000),
TGS D 10. (Sh 670,500),
TGS D 11. (Sh 682,000),
TGS D 12. (Sh 693,500).
 
Hizi za zamani sana, Kikwete alipandisha kitambo sana. Tafuta update
 
Back
Top Bottom