Walimu wa mazoezi kero katika mahusiano

Swala si uaminifu kikubwa usimweke m2 wako katika mazingira hatarishi kama hayo kwa ni hata kama ni msimamo huwa unaisha cz wakati wa mazoezi mwl ni rahisi kumshikashika sehemu zenye mihemko so unategemea nn uzalendo unaisha usimruhusu mkeo eti Gym mazoezi ya kukimbia yanatosha na pushup tosha kabisa

Wenzio wanataka mazoezi za kuendesha baiskel (sijui jina lake la kitaalamu) kuhusu home hawataki kusikia, si mnafahamu gym maonyesho/mauzo sometimes?
Nakubaliana nawe kuhusu kuepuka mazingira hatarishi!

Nachoweza kusema wamama wengi walio kwenye frustration na marriage zao ni wateja wazuri saana wa gym; si wote lakini. Sasa unakuta ameenda gym si kwa nia ya fitness ameenda kwa nia moja; kutafuta kidumu. Unaweza kuta mtu ana mume mwenye pesa lakini mwanaume ana vimada zaidi ya kumi. Mwanamke nae anageuka muwindaji kutafuta anachokosa ndani.

Kuna wamama wengi tu wenye pesa ambao you can tell by just looking kuwa wako kutafuta masharobaro.

Niliwahi fanya kazi na mama mmoja alikuwa bosi sana na ni mzuri na ni mke wa mtu mume naye ni balaa mara 100 huyo mama yani ni bad news; achezi mbali na vijana kwa wale wenye tabia kama zake wamempitia sana. Wenye tabia za kujiheshimu walikuwa wanamkimbia maana akawii kukupa trip akifika na wewe huko anakubaka kiaina wanavyosimuliana vijana.

Well said mkuu, haya mamama ndio yanawatega walimu then mwisho wa siku wanawatia doa wenzao *aa?¥gh@§!!!

Hilo ni fundisho kwa wanaume wa kitanzania kujifunza kufanya vitu na wake zao. Wangekuwa wanaongozana gym wote hayo yasingetokea. Kwanza hapo wakapime ngoma maana kama huyo kijana ana wanawake 10 maana umesema kwake ni vitega uchumi; kuna usalama hapo?

Kupima ngoma haijalishi bro, nadhani hao wanaume wanapaswa jifunza vitu wapenzi wao wavitakavyo!

nafungua gym soon

I concur with you then for girls only btn age of 20 and 35 for low fee per months a lot of adverstisement and markerting stratredy that nowadays man needs a women who attends fitness center. I will get all cause all want to Test. Nimeogopa na usemi watu wakianza kuugua ndio wanaenda GYM means wengi ni wagonjwa wa .....

Malizia, wagonjwa wa nin? Gym kwa kweli ziangaliwe kwa jicho la husuda!

Si walimu wa mazoezi tu, siku hizi kila sekta imechafuka. Wake za watu watamu bana?

Kila siku nasema hapa mnaniona mimi nawanawake kama siwapendi siyo?ila nikwamba wanawake mnapenda itu hivi:-
Mwanamume mwenye misuri umbo la mazoezi!Kwakuamini wanajua kusugua kumbe tofauti mazoezi na kazi hiyo tofauti!
Pili kwakujua atakufundisha vizuri kama unakitambi atakitoa au kama unataka kuwa miss utakuwa kumbe wapi hii inatakona na juhudi binafsi!
Sasa hapo kama wewe siyo kibrudisho nini??Na kwataarifa yenu wanwake tieni katika ubongo wenu walimu wa mazoezi wote ni tegemezi wanakalishwa mjini na mijimama!!Kama uwaonavyo wanamziki,wasanii wa moves,wakongoman wote nilio wataja wapo katika kundi la MARYOOO

Uaminifu katika ndoa umepungua! Naungana na wale wote wenye msimamo huo. Hayo ya kupenda mabaunsa nadhani ni tamaa tu! Ila hata hawa walimu wa mazoezi wamezidi aaggh!

Naamini mkuu tunarudi pale pale kuw auaminifu haupo na wala sio walimu wa mazeozi wala nini
Maana hadi kufikia kumvulia mwanaume wa gym nguo hakulazimishwa ila alikubali mwenyewe na inawezekana alimtongoza kwa mambo mengi mpaka jamaa wa mazeozi akaingia line
Uaminifu hakuna ndani ya ndoa za siku hizi

wanawake kweli ni kama mvua inaweza nyesha sehemu yeyote ile. ni aibu lakini ndio yale yale ya Igunga kweli ni laana kutok kwa Eva

Mwanume mzima halafu mkeo ana enda Gym na wewe bado unakitambi, unataka nini haswa? nunua machine uweke home, upunguze mafasi kwa huyo mlupo mkeo kutoka kisingizo cha Gym, halafu hili la kucheat halafu kuwapeleka kituoni silielewagi, halafu ni aibu ya nani haswa? .

Umegonga Ikulu

haya ni yale yale ya massage parlour, salon za kike na za kiume

Yaani swala sio walimu wa mazoezi wala wanawake wa salon na waume za watu wala wa salon za kiume na wake za watu

Swala ni kuwa uaminifu kweney ndoa hakuna

Mtu anaende gym kwa ajili ya kufanya mazoezi badala ya kwenda kufanya kile ambacho anatakiwa kufanya anaenda kufanya ngono na mwalimu wa gym au mtengeneza nywele na kucha

Tuache kusingizia watu au walimu ni kila mmoja afanye na atimize wajibu wake

hakuna maana ya kumlaumu mtu wakati wewe mwenyewe umejilengesha kumtamanisha yule mtu afanye mapenzi na wewe

Maana hakuna mtu aliyemfuata huyo mama nyumbani kwake kuwa twende gym ni yeye mwenyewe alienda na ni yeye alitongozwa na ni yeye aliyekubali kufanya mapenzi na mwalimu wake

Umeongea Vyema Kaka,Tutakuwa watu dhaifu sana kama tunawalaumu watu wengine kwa "roho za ukahaba" za wapenzi wetu wenyewe,Kila Mtu ujaribiwa kwa Tamaa yake mwenyewe,wewe deal na Mpenzi wako!!

Mtu mwenye matatizo ya Uadilifu anaweza kuingiliwa hata na Mbwa!!!

haya ni yale yale ya massage parlour, salon za kike na za kiume

Yaani swala sio walimu wa mazoezi wala wanawake wa salon na waume za watu wala wa salon za kiume na wake za watu

Swala ni kuwa uaminifu kweney ndoa hakuna

Mtu anaende gym kwa ajili ya kufanya mazoezi badala ya kwenda kufanya kile ambacho anatakiwa kufanya anaenda kufanya ngono na mwalimu wa gym au mtengeneza nywele na kucha

Tuache kusingizia watu au walimu ni kila mmoja afanye na atimize wajibu wake

hakuna maana ya kumlaumu mtu wakati wewe mwenyewe umejilengesha kumtamanisha yule mtu afanye mapenzi na wewe

Maana hakuna mtu aliyemfuata huyo mama nyumbani kwake kuwa twende gym ni yeye mwenyewe alienda na ni yeye alitongozwa na ni yeye aliyekubali kufanya mapenzi na mwalimu wake

Similar Discussions

Back
Top Bottom