Walimu wa mazoezi kero katika mahusiano

Kifua kinahusikaje ktk mapenzi kwani?!
I guess ni sawa na kuuliza makalio, miguu, sura nk zinahusikaje pia.

Ushuhuda: Nilipata kuwa mahali fulani miaka ya nyuma kidogo (ningali mvulana napata miaka 22) katika project iliyokuwa na wasichana kadhaa kutoka uingereza. Kulikuwapo na hali fulani ya 'mvuto' usio wa kawaida kuelekea kwangu...baadae nilikuja kugundua kuwa ni kwa sababu nilikuwa naonekana nina kifua kipana...muscular if you like (kuliko wavulana wengine). Walikuwa wanapata shauku ya kutaka kutest....tena wengine bila woga from nowhere unakuta anataka kukushika (hata mbele za watu) sehemu za kifua/tumbo na hata mikononi (biceps) au hata kujiegesha kifuani kinamna...kama vile anatamani umkumbatie!

Mie sidhani kama kifua kinahusika katika Mapenzi, suala zima ni kwamba huyo Mama alikosa uaminifu tu, mi sioni sababu ya kumkubali mtu mwingine hali unajua wewe ni mke wa mtu, Uaminifu Jamani ni jambo la busara sana, UKIMWI UPO MITAANI KUSAKA WALIOKOSA UAMINIFU..

Nakwambia utakuta mtu na lesi wigg lake yumo bize kwenye gym, wanja mpaka juu kwenye uso malip gloss yanamwagika kama ya belinda yuko bize anafanya mazoezi macho hayatulii sehemu moja, kwa kweli kuna mambo sana gym mie siku hizi najiendea uwanjani nakimbia baaasi

Usiombe kushuhudia mke/mchumba au girlfriend wako,anapigwa miti na lijamaa unaweza kulia haki ya nani,unakuta limemkunja utafikiri linataka kumuua huku linachochea mambo,alooo ni balaaaa.

Usiombe kushuhudia mke/mchumba au girlfriend wako,anapigwa miti na lijamaa unaweza kulia haki ya nani,unakuta limemkunja utafikiri linataka kumuua huku linachochea mambo,alooo ni balaaaa.

Hahahahaha! Mkuu I gues this speaking is from experience. Pole sana mkuu!

Kuwalaumu lazima kuwepo, hawa watu ni sehemu ya mkanganyiko ktk ndoa za watu pale wanaposhirikiana nao ktk mambo fulani. Wanachangia mifarakano na ugomvi ktk familia ama mahusiano fulani!

Sioni cha kuwalaumu
Huyo mkeo aliyeenda kufanya zoezi au mume wa mtu ambaye anaenda kwenye gym au massage parlour anayeenda kufanya mengine zaidi ya yale aliyoenda kufanya ndiop anapaswa kulaumiwa
Kwani ulienda gym kutafuta bwana au kufanya zoezi
Kwani ulienda kwenye massage parlor kutafuta mwanamke au ulienda gym kuangalia ni mwanamke gani naweza kulala nae
Ni jambo la ajabu mtu anaenda gym anatongozwa na then anakubali na then at the end tumlaumu yule mwalimu kuwa ana makosa
Kwani ulibakwa au kulazimishwa

duh.... yametokea ila inataka moyo kweli kushudia jinsi walimu hawa wamazoezi jinsi wanavyowafanyisha mazoezi hawa wake, na dada zetu.
mimi nimeamua kumpiga stop wife... mazoezi ni hapa hapa home....

Nakwambia utakuta mtu na lesi wigg lake yumo bize kwenye gym, wanja mpaka juu kwenye uso malip gloss yanamwagika kama ya belinda yuko bize anafanya mazoezi macho hayatulii sehemu moja, kwa kweli kuna mambo sana gym mie siku hizi najiendea uwanjani nakimbia baaasi

Punguza udhaifu dogo. Ukiwa serious na mazoezi yote hayo huyaoni inaonekana na ww pia macho yako hayajatulia. Kwani uwanjani kama leaders club ambapo jumamosi ukiona yale ma bantu figure yanayopiga jogging pale na nguo wanazo vaa si magoti yatakuwa yanagongana gongana? Na pumzi kushuka? Je ukiwa library kama ya UD utasoma kweli? Utaondoka ukasomee rum kwako? Vitabu utapata wapi?

Swala si uaminifu kikubwa usimweke m2 wako katika mazingira hatarishi kama hayo kwa ni hata kama ni msimamo huwa unaisha cz wakati wa mazoezi mwl ni rahisi kumshikashika sehemu zenye mihemko so unategemea nn uzalendo unaisha usimruhusu mkeo eti Gym mazoezi ya kukimbia yanatosha na pushup tosha kabisa

Mazoezi home tu, unabana unaachia

Kitendo alichofanya huyo mwanadada ni cha kutia aibu na kumfedhehesha mumewe! Kama alikuwa na hamu si angemaliza na mumewe home kabla ya kwenda gym? Kwanini akatafute mwanaume wa nje wakati mumewe yuko fit kikazi?

Huyo dada kutoka nje ya ndoa yake ni tabia wala sio kutafuta kifua kipana! Ametia aibu kwenda kufanyiwa bafuni! Inauma sana!

labda mikito ya baunca imemchengua hahahaa, kwanini hawakuchukua chumba aibu sana

Nachoweza kusema wamama wengi walio kwenye frustration na marriage zao ni wateja wazuri saana wa gym; si wote lakini. Sasa unakuta ameenda gym si kwa nia ya fitness ameenda kwa nia moja; kutafuta kidumu. Unaweza kuta mtu ana mume mwenye pesa lakini mwanaume ana vimada zaidi ya kumi. Mwanamke nae anageuka muwindaji kutafuta anachokosa ndani.

Kuna wamama wengi tu wenye pesa ambao you can tell by just looking kuwa wako kutafuta masharobaro.

Niliwahi fanya kazi na mama mmoja alikuwa bosi sana na ni mzuri na ni mke wa mtu mume naye ni balaa mara 100 huyo mama yani ni bad news; achezi mbali na vijana kwa wale wenye tabia kama zake wamempitia sana. Wenye tabia za kujiheshimu walikuwa wanamkimbia maana akawii kukupa trip akifika na wewe huko anakubaka kiaina wanavyosimuliana vijana.

Nakwambia utakuta mtu na lesi wigg lake yumo bize kwenye gym, wanja mpaka juu kwenye uso malip gloss yanamwagika kama ya belinda yuko bize anafanya mazoezi macho hayatulii sehemu moja, kwa kweli kuna mambo sana gym mie siku hizi najiendea uwanjani nakimbia baaasi

Hilo ni fundisho kwa wanaume wa kitanzania kujifunza kufanya vitu na wake zao. Wangekuwa wanaongozana gym wote hayo yasingetokea. Kwanza hapo wakapime ngoma maana kama huyo kijana ana wanawake 10 maana umesema kwake ni vitega uchumi; kuna usalama hapo?

duh.... yametokea ila inataka moyo kweli kushudia jinsi walimu hawa wamazoezi jinsi wanavyowafanyisha mazoezi hawa wake, na dada zetu.

mimi nimeamua kumpiga stop wife... mazoezi ni hapa hapa home....

Mazoezi yafanyike home bhaaana!

Punguza udhaifu dogo. Ukiwa serious na mazoezi yote hayo huyaoni inaonekana na ww pia macho yako hayajatulia. Kwani uwanjani kama leaders club ambapo jumamosi ukiona yale ma bantu figure yanayopiga jogging pale na nguo wanazo vaa si magoti yatakuwa yanagongana gongana? Na pumzi kushuka? Je ukiwa library kama ya UD utasoma kweli? Utaondoka ukasomee rum kwako? Vitabu utapata wapi?

Kwa library yenye msongamano km ya udsm ujue hapo hakuna kusoma. Huko leaders ndio usiseme kabisa, yale madude yanatega kinyama.

Similar Discussions

Back
Top Bottom