Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Aisee, hapa walezi tuna kazi nzito. ndiyo maana mie bora nijinyime mie lkn niwape madogo coz najua kuna vitu wanavitamani,,,,,,kuepusha vitamaa ya vitu vidogovidogo.
Sema mimi hakuna kitu nachukia kama mtoto wa kike kuwa malaya hata awe sio dada yangu au mtoto wangu.
 
Assalaam,

Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu.

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lakini wawili ni masharobaro.

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana, yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana.

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye TV….nikamuuliza walikuwa wanafanyaje? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana.

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto.

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome, wewe ushasoma na upo kazini, imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio?

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.

Mjitahidi kubalance hiyo mihemko.
Ningekushauri kitu sema bas tu
 
Dunia imeharibika kanda ya ziwa nilikuta mtoto anamiaka 17 nae ana mtoto alaf kwenye jamii inachukuliwa ni jambo la kawaida, alaf siyo yeye tu ni mabint wadogo wengi sana wamezalishwa na hawaoni ajabu wakati nilipotokea hicho siyo kitu cha kawaida kukiona
Hilo mkuu sikupingi maana nipo huku najionea, npo mpakani mwa Mwanza - Shinyanga na Simiyu. Huku kila mtoto ana mtoto pia.
 
Kwanza walimu hawana posho kama askari kwa hiyo watoto wenu ndio marupurupu yao acha wayazagamue watakavyo.
Walimu wana mishahara mikubwa kuliko hizo posho + nishahara ya askari.
Mwalimu alieajiriwa miaka 6 kazi analipwa pesa nyingi na huwezi kumlinganisha na Askari mwenye miaka 16 kazini.
Hayo ni matamaa tu ya kijinga kutofikiria madhara ya baadae jambo likibumburuka.
 
Mtoa mada kushindwa kuweka details za shule/Mwalimu kunafanya huu Uzi kubaki uzushi. Au huenda nae anataka denda la mwalimu
 
Assalaam,

Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu.

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lakini wawili ni masharobaro.

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana, yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana.

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye TV….nikamuuliza walikuwa wanafanyaje? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana.

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto.

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome, wewe ushasoma na upo kazini, imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio?

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.

Mjitahidi kubalance hiyo mihemko.
Acha hasira mzazi/mlezi mishahara yetu ni midogo hatuwezi kuhonga pisi kali zinazokunywa Savana kama maji. tunajilipa kwa watoto wenu wazuri kikubwa tusiwape mimba tu.....pia tunawatengenezea njia ma lecture wa vyuoni ili wasipate tabu kuchafuliwa na damu [emoji847]
 
Udaku tu eti nikaona kama kwenye TV. Kwanza hao wadogo zako wanaonekana ni wakurukaruka, hayo mambo huwa unawaonesha wewe kwenye hiyo TV au huwa wanaangalia wao. Kama ni hivyo anza na hao ndugu zako.
 
Acha hasira mzazi/mlezi mishahara yetu ni midogo hatuwezi kuhonga pisi kali zinazokunywa Savana kama maji. tunajilipa kwa watoto wenu wazuri kikubwa tusiwape mimba tu.....pia tunawatengenezea njia ma lecture wa vyuoni ili wasipate tabu kuchafuliwa na damu [emoji847]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom