Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 566
Umbea hautamsaidia chochote kwenye hiki kizazi cha emoji.Acha umbea kijana
Mimi ni mzazi tuliza kikogwaAcha umbea kijana
Masikio yanasikiliza na yanachuja sasa walimu wa field wanashindwa kutongoza huko chuoni ???uje kuvitatua Vitoto hebu wakapambane na wenzao wa mjini DuCe au pale CoNasMtoto wa kiume kufuatilia stories za wadada ni dalili ya kiamstedamu.....fanya kazi kijana hiyo midada mikubwa inajielewa labda jamaa hakufungua mfuko
Hehehehe kikubwa tuwaache hawa watoto ni hazina ya baadaeKila mtu ale kwenye eneo lake la kazi, watoto wa secondary wachokozi Sana, ukiwa mpole wanakuanza wao.
Wengine mpaka wanakusalimia kichokozi "teacher mambo"..unaishia kutabasamu tu.
Nakumbuka nilikuwa field kule moro miaka kadhaa nyuma, unakuta binti anakufuata privately na vimaswali umsaidie, nilijitahidi Sana kukwepa mitego, na ukizingatia watoto wa form four wanajua kuoga na ni wasafi, sketi kapigilia na guu la Champaign [emoji898], nilipomaliza tu field nikawa najilipa nitakavyo[emoji16][emoji16][emoji16].
Ila ukweli Ni kwamba wanafunzi hawafai maana Ni kujiweka hatarini, kwa hiyo maticha kuweni makini, unaweza kujikuta unaambulia mvua 30 za chap!
Hao wanaokupiga mawe kwa hii mada inawezekana hawajavaa uhalisia wa binti zao kutongozwa na waalimuMasikio yanasikiliza na yanachuja sasa walimu wa field wanashindwa kutongoza huko chuoni ???uje kuvitatua Vitoto hebu wakapambane na wenzao wa mjini DuCe au pale CoNas
πππAjira wakose na papuchi wakose alah
Kweli kabisa mkuu 20 - 23 ndio wanaoenda field mkuu kwakweli bado wadogo na wanakuwa sawa na wanafunzi kimiili hata akili pia inakuwa sio kubwa kivile......Inasikitisha sana...
Walimu siku hizi ni wadogodogo sana, tofauti na zamani, walimu ni mapende ya watu, heshima na adabu inakuwepo...
Cc: mahondaw
Kweli kabisa mkuu 20 - 23 ndio wanaoenda field mkuu kwakweli bado wadogo na wanakuwa sawa na wanafunzi kimiili hata akili pia inakuwa sio kubwa kivile......
ila sema mabinti tu wanakuwa na huruma na uoga, ila endapo issue kama hizo binti akireport kwenye vyombo husika, kwa tamaa za vijana za ngono hauwezi ruka viunzi lazima ukamatwe red handed na mwanafunzi akiwa pembeni yako....