Walimu tunanyanyaswa sana

Acha roho ikuume sana tu aiwezekani upuuzi kama ule wa juzi uvumiliwe kamwe,eti apewe nafasi ya kujitetea ajitetee nn sasa
 
Ndugu yangu walimu tuko wengi hata ajira zenyew tunabembeleza ukiona upo kazini salama hakuna anayekusumbua Shukuru MUNGU tu ila suala alilolifanya jamaa ni kweli kosa ila kwa adhabu aliyopewa itaongeza dharau kwa wanafunz dhidi ya sisi walimu na itafikia hatua tutatukanwa halafu tutabaki kimya huwez kubishana na Mwanafunz kwa saiv
 
Na salary yenu ya laki 2 na nusu! Kweli mnaonewa..!
Bro kama ww unachukulia hiyo salary ni ndogo sisi tumeisotea miaka zaidi ya kumi kwetu kubwa mno ww mwenye mshahara mkubwa sio mtanzania sema si tunakubali kila jamii inamatabaka
 
Hoja inatetea upande wako kama mwalimu lkn jua skopioni ni yeye na hajafanya katika sekta but huyo mwalimu ni kafanya ujinga katika wizara kubwa tz nakipndi kibaya. Wacha muwajibishwa et skopioni wee
Chakulia ww ndio umedundwa ngumi na Mwanafunz mbele ya darasa utafanyaje
 
Atakula nn mkuu
Utaachaje kaz ya ualimu hili ndio kimbilio la wasiojiweza kiuchumi kama mm nyie matajiri mtakubali kuchapwa fimbo huku unajua unakitu kinachokuingizia pesa zaidi ya kazi yako
 
wewe kukubari kunyanyaswa, na hukijua unanyanyaswa ni makosa jua/dai haki zako na timiliza wajibu wako.
 
Mim ni mwalimu pia, na Nina watoto wanasoma, wakikosea waadhibiwe kama kawa, na mimi wanafunzi wangu wakikosea bakora Kwa kwenda mbele, we unadhani kufundisha ni kaz rahisi et, naumiza Kichwa nikufundishe vp ili uelewe, then unaleta dharau na kunitukana, nisikuadhibu, nitakuwa mwendawazimu,
 
Bro kama ww unachukulia hiyo salary ni ndogo sisi tumeisotea miaka zaidi ya kumi kwetu kubwa mno ww mwenye mshahara mkubwa sio mtanzania sema si tunakubali kila jamii inamatabaka
Samahani ... Sikumaanisha kukejeli bali kuwapa hasira tu ya kudai maslahi!
 
Labda ni Mishahara haitoshi /> Kwa tabia hii mutanyanyasika sana
awa hapa waalimu wengine wakimpa kichapo mwanafunzi.
Wacha ifukuzwe tu ni wauaji hawa wengine..hamna walimu hawasikilizwi wala nini walimu wanatakiwa kuwa wazazi wa pili ila siku hizi wakikosa wanachotaka kusomea wanakimbilia ualimu kupata mikopo na kuwapiga watoto wa watu kama wanyama fimbo zinaruhisiwa ila angalia unapo mpiga huyo mtoto.Kwa Frank na wenzake hamna namna let them reap what they sowed
 
Acha kusomea ualimu fanya biashara
 
Na hawa wanafunz wa sasa wanaleta dharau ksana kwa walim,waache wafundishwe adabu na wanaume! Na nyie viongoz wa serkali achen kutetea hawa wanafunzi watukutu,chunguzeni kwanza why yule mwanafunz Sebastian alikula kichapo cha mbwa mwizi! Lazma kulikuwa na sabb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…