Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
Mwalim ni kama TOILET paper ukishachamba unaitupa.
Watakujali kipindi cha Uchaguz na kukupa matumaini Lakin mwisho wa picha UTAJIJU.
DENT akizingua NAVUNJA TAYA.. Sipendagi kuonekana BOYA mimi [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji109]
Shule inaitwa Augustino Regnaldunafundisha shule gani
Duh,hawa si mascorpion?wapo wapi hawa dadadeki zao..Labda ni Mishahara haitoshi />Kwa tabia hii mutanyanyasika sana
awa hapa waalimu wengine wakimpa kichapo mwanafunzi.
Mbona madaktari walikula kichapo kule mtwara nao waache?HII KAZI BORA MUACHE KAMA MWALIMU ANAPGWA HADI VIBOKO NA WAKUU WA WILAYA
mkuu mi nahisi wanalalmika sababu wao ni kama wanaadhibiwa na serikali,au viongozi wakuu wa nchi na sio na wananchi.au ni kwamba walimu wao wametwikea mzgo mkubwa sana wa lawama na uonevu.so ivo vitu sio vzurMbona madaktari walikula kichapo kule mtwara nao waache?
Hizo ni career hazards or risks.
Tena ze recently sagga watu wamechomwa moto kabisa na gari lao juu. Walimu hatujawahi kupigwa kiberi aiseh!!
Unaota mkuu!! Walimu wapo ngaz tofaut wa grade anaanza na mia tatu naaaa... Sasa hiyo ya degree unayoweka hapo sikwelewHakuna Mwalimu mwenye mshahara huo mimi najua wanaoanza kazi ni Tsh716,000.
Acha kupotosha.
Hiyo laki 5 bado sana kwa maisha ya sasa hivi! Badala mpiganie maslahi yenu mnakuwa "Defensive!" Nina wadogo zangu walimu, hivyo najua nachozungumzia ..
Hadi hapa sijaona kosa lolote mkuu upo sahihi 100% big up, WAKIMWAGA MBOGA TUNAKULA UGALI! HATUTAKI UJINGA SISIFundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
Walimu wanatofautiana sana, nilishangaa kuona mwalimu wa shule ya msingi analipwa Karibia Tshs mil 2.8, ila alikuwa na muda kama wa miaka 5 asitaafu.Ikikatwa makato hiyo unabakiza Tshs ngapi? Na ni kwa mwalimu wa degree nafikiri! Je! Hao wa msingi?
Utakufa wewe kwanza eti....Muamishe aje huku Mara....kuna shule nzuri tu.....uone kipigo ....hicho cha mtoto....
Utakufa wewe kwanza eti....Muamishe aje huku Mara....kuna shule nzuri tu.....uone kipigo ....hicho cha mtoto....