Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,369
- 31,790
Mimi siyo yale matoto mapumbavu yanayo sema bora unitukanie mama yangu kuliko baba yangu ...nitumie akili.kwa kuwa ninayo .Oooh kumbe!! Bado nafikiria kosa ni wazazi wako, lako au jamii yako?? Bado sijapata majibu. Hebu niambie, ni wapi walikukosea katika kukulea?