Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 475
- Thread starter
- #41
Kwa nini unafikiri lazima ndio uwajibikaji?mfano wangu wa 100/= ya uji umeusoma? -- lazima waende kwa lazima ndo uwajibikaji huo
Unajua maana ya uwajibikaji au unaandika tu....? Ukiambiwa andika maana ya neno uwajibikaji unahakika utafaulu?
Unafahamu umuhimu wa kiumbe chochote kupata muda wa kupumzika hasa ikizingatiwa hawa ni watoto wa darasa la 3?