kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Kweli kabisa. Halafu hawaoni hata aibu kuongea jambo kama hili hadharani!Wameamua wenyewe.Maana ujinga wa mtu huanzia ndani mwake.
Ama kweli dunia msongamano!
Kweli kabisa. Halafu hawaoni hata aibu kuongea jambo kama hili hadharani!Wameamua wenyewe.Maana ujinga wa mtu huanzia ndani mwake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo show inapigwa afu wanazuga kuwa et ni kero .m.c wahame ... kilimanjaro ni Moja mikoa ambayo gharama za kupanga ni very cheap .. chumba Hadi 20k unapata. ...na maswala ya udalali hayajachanganya kiivoNajua Wana tombana sana humo ndani ili kujifariji na Mitano tena
Acheni matusi humu. Nyie vipi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo show inapigwa afu wanazuga kuwa et ni kero .m.c wahame ... kilimanjaro ni Moja mikoa ambayo gharama za kupanga ni very cheap .. chumba Hadi 20k unapata. ...na maswala ya udalali hayajachanganya kiivo
Wameamua wenyewe.Maana ujinga wa mtu huanzia ndani mwake.
Moshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu.
Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
Ni sawa pengine wanatumia kama geto tu la kubadilisha nguo na kipiga mademu basMoshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu.
Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
Kwani si wakapange. Mbona watumishi wengine sisi hatujawahi kulipiwa kodi na taasisi zetu. Tumepanga mpaka tulipojenga.
Yawezekana ujinga, ulofa na uchawi ndio sources