Walimu punguzeni mitihani mashuleni.

Mzee enzi zetu hiyo mitihani tulikuwa tunaitafuta, na tulikuwa tuna wish kila wiki tupige, shule vs shule, yaani mtu unakaa unajiuliza wiki hii wapi kuna paper . sema pia nje ya hilo ndio tulikuwa tunapatiaga na mademu 🤣🤣🤣
Nyakati zimebadilika.Waende na wakati.Too much is April!
 
Ndio ccm kuna mtaala wa uchawa, nimepeleka watoto wangu wote wakawe ma Pro wa uchawa, wapate hela wakule mashangazi 🥹🥹
Hiyo mishangazi ina magonjwa sugu ya hatari waliyogawiwa kwenye mikesha ya mwenge.Watoto wako wajitunze.
 
Watoto wenyewe ni vilaza watupu, bila spoon feeding hawatoboi
 
hatimaye na dukuduku la dada pipi limetufikia na huku.

aisee, kila mtu atafikiwa kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…