Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,383
- 28,054
Kweli kabisa anaweza kumpa homework halafu asijuwe kama kapata au kakosa.Sasa kama elimu ya mzazi haina huo utaalamu si ndo basi tena.
Kweli kabisa anaweza kumpa homework halafu asijuwe kama kapata au kakosa.Sasa kama elimu ya mzazi haina huo utaalamu si ndo basi tena.
Watu wana tafsiri sisisi ya UPE. Ila ukiambiwa maana yake sio ile ambayo wanaisema na infact watanzania wote wa lio ni output ya Universal Primary Education (UPE)nyie waalimu wa UPE ni shida sana
The Musoma decralation of 1974Watu wana tafsiri sisisi ya UPE. Ila ukiambiwa maana yake sio ile ambayo wanaisema na infact watanzania wote wa lio ni output ya Universal Primary Education (UPE)
Acha umaskini wa mawazo,nani kakwambia umpeleke mtoto Olympio wakati kwako kigogo Sambusa?Waache wa kishua wasome hapa kwetu upanga,unavamia kwa washua alaf unaleta mambo ya uswahilini?Mimi ni mmoja ya wazazi tuliopendekeZa quiz kwa 10000/- ,Kama hutaki muwaishe mwanao nyumbani akaangalie kipindi cha muziki muziki na clouds tv ,tuachie sisi tulipe wasome "if you think education is expensive try ignorance!Mtoto hapewi homework hadi mwalimu alipwe 10,000/-.
Mwanangu yuko darasa la tatu, tangu shule imefunguliwa hajapewa home work, nilipomuuliza why? akaniambia natakiwa kulipia hela.
Hakika Magufuli kazi anayo, akiziba huku wenzake wanafungua kule.
Sasa kama elimu ya mzazi haina huo utaalamu si ndo basi tena.
Mpe mwenyewe hiyo homework! nunua vitabu kila siku afanye zoezi au tafuta dada aliekwenda shule amfanyishe!!
Alafu Instagram amuachie nani?!