Walimu Olympio wabuni mbinu mpya kupata pesa

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,719
9,002
Mtoto hapewi homework hadi mwalimu alipwe 10,000/-.

Mwanangu yuko darasa la tatu, tangu shule imefunguliwa hajapewa home work, nilipomuuliza why? akaniambia natakiwa kulipia hela.

Hakika Magufuli kazi anayo, akiziba huku wenzake wanafungua kule.
 
Pole lakini nakumbuka Kama haipo katika mpango wa elimu bure....
 
hvi mnaposikia wa madhabahuni atakula vya madhabahuni huwa mnaelewaje kwa mfano? Leo nilipita mitaa fulani wanasema magu ana kiwanja na hotel wanalalamika sasa wanataka asiwe hata na nyumba. Unajua ifike mahali muelewe mficha uchi hazai ukiona pesa yako kuliwa na mwalimu kama unapoteza peleka kwa sangoma. Kosa lipi mwalimu akikwambia lipa teni dogo apewe assignment? Kama vip mpe mwenyewe!! Acheni utoto aiseh
 
nyie waalimu wa UPE ni shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom